Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Walikwenda kabla ya Raisi kukaa bashite acha uongo
 
Waliwahi polisi walipewa maagizo tu sio vizuri kuwanyanyasa watanzania wenzenu
 

Waulize mbona Maalim Seif alikuwepo? Yeye alizuiwa?
 
Ndugu mwanahabari huru, CHADEMA wanajua na wanaojua itifaki pia wanajua. Huwezi kuingia kwenye shughuli ya kitaifa vile, uko na msafara, Rais ameshaingia halafu unataka upewe upendeleo wa kuingia kwenye shughuli Kama vile mgeni rasmi.

Walishindwaje kufuata utaratibu? Wanafanya makusudi ili kuzua sintofahamu.

Kuna mwananch yeyote aliyezuiwa? Wangeshuka kwenye magari waingie Kama wananchi wa kawaida waone Kama wangezuiwa
 
Inabidi wavumilie tu maana wote ni watanzania na walipaswa kushiriki official burial ceremony
 
swali halikuwa la kwako moja kwa moja kuna mdau humu ndo tunaendelea kujadiliana na kujibizana.

Ungemquote yeye na sio mimi. How would I know that the question was not belongs to me?
 
Sasa mbona umependa alichosema na wakati wewe ulitakiwa ufahamu msimamo wangu? Sikukupa like yangu kwenye statement yako kama yake kasoro maeneno ya kwenye kanga?
jmushi1 relax mkuu..hayo ni maoni ya wadau.

Kama hujaridhika nayo achana nayo tu. Jf ni kama bahari, kuna kila aina ya viumbe...ukitupa kokoro tegemea mazaga kibao.

Wewe chukua samaki hayo mengine tupa.
 
Sina shida na hilo Mkuu ila halihitaji Akili Kubwa kujua kuwa kuna Watu walipanga kwenda ili kupata Political Mileage kwa Ujio wa Mgeni Mwenyeji.
Bashite hajawahi kuwa na utafakari kichwani mwako unachowaza tumbo lako tu yaani chadema iliyopo kila kitongoji mtaa kujiji wilaya mkoa na taifa wakapate political mileage kwenye uwanja uliojaa watoto wa shule wewe acha ngebe za aibu
 
Mtu mwenyewe kauzu yule...bora muwe wapole mje mpate hata wabunge watatu bunge lijalo.vinginevyo mtatoka kapa,msijidanganye kwamba kura zenu wananchi zitafanya kazi,never.hui uchaguzi utakuwa kama uteuzi tu.nguvu zote anazo yeye.
Mkuu nakuhakikishia, haya mambo sio rahis hivyo, ashapiga mkwara mara ngapi mzee lakin mbona ujio wa TL umetikisa? Kuongoza nchi kwa kutumia nguvu lazima ufeli tu, utaweza kwa muda fulan lakin sio kwa muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…