Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Magufuli anazidi kuthibitisha bila kuacha shaka kuwa ana roho mbaya sana sana saaaaana.
 
Kumufananisha Sefu na CHADEMA nikuikosea CHADEMA adabu,kiongozi anayesimamishwa na CHADEMA uwezo wake ni wa nchi nzima pamoja na Zanzibar yenyewe hata kama atapata kura elfutatutatu kila jimbo Sefu hawezi kupata kura kama hizo, Sefu ni wakumulinganisha na akina Mwakajoka wa jimbo la Tunduma ndio size yake.
 
Je, walifuata kama ratiba ya kwenye barua iliwapasa wafuate? Barua iliwataka waingie uwanjani baada ya kiongozi mkuu wa nchi kuingia?

Hilo sijui....

Kama walikuwa nje ya itifaki ya kuingia na kukuta Rais keshaingia na kukaa, basi hawana sababu ya kulalamika...
 
Na wewe wacha akili utopolo, hiyo akili mwachie mamako huko kijijini hapa mjini njoo na akili ya binadamu timamu! Aliyewapuuza CHADEMA jana ni nani? Hukuona hiyo nyomi?
Sizungumzii nyomi mimi. Chadema Jana walikaidi agizo la polisi la kutokukusanyika, badala yake wakakusanya wafuasi wao kila kona wakajazana pale airport na baadae wakaandamana. Lengo lao lilikua polisi wawazuie ili vurugu zitokee wapate kiki lakini wakapuuzwa. Sasa leo wakaona bora waamkie msibani, napo wamekwaa kisiki. Sasa hivi, watakua wanaandaa maandamano ya kumsindikiza Lissu Mahakamani.

Sasa kama unaona nina akili za Utopolo, subiri uone.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Asante
Hebu ongeza sauti wasikie
 
Upumbavu tu!
Ss maiti wangeiona kulikuwa nn kingebadirika?

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Duh mtake radhi Malimu Sefu, Ndani ya Chadema hakuna wa kufanana nae kisiasa.
 
Fool! Unawezaje kuinga na msafara kwenye shughuli wakati rais wa nchi kisha ingia? Protokali gani na nchi gani duniani yenye ufala kiasi hicho? CHADEMA ina mengi ya kujifunza ingawa naona tatizo ni kutaka kujionesha kama vile vibinti vya vyuoni vinavyowinda kuingia wakati mwalimu yuko darasani, ili vionekane. Shiiiit!
 
Wamenikumbusha ya Lowassa kuzuiliwa mazishi kule upareni.Sishangai.
 
Chadema utoto mwingi Sana!!

Na bahati mbaya kwamba hata wafuasi wake ukikaa vizuri kabisa kuwachunguza Kwa undani wengi wao ni wavuta bangi na machizi na hawana adabu

Nachofurahia tu kwamba nchi haiwezi kukabidhiwa Kwa watu wenye huluka hiyo!!
 
Chadema utoto mwingi Sana!!

Na bahati mbaya kwamba hata wafuasi wake ukikaa vizuri kabisa kuwachunguza Kwa undani wengi wao ni wavuta bangi na machizi na hawana adabu

Nachofurahia tu kwamba nchi haiwezi kukabidhiwa Kwa watu wenye huluka hiyo!!
Anayekabidhi nchi ni wewe au wananchi wengi walio na wajibu wa kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…