Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.
Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.
Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.