Msafara wa Waziri huku Kigoma, ulimgonga mjomba wangu lakini cha ajabu hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka?

Hivi kwa nini wabongo mmekosa utu siku hizi?

Hasa mlio katika mlengo wa kijani,mnaona mtu akifa kifo kinachotokana na serikali mnakosa kabisa utu hata kidogo.

Hapa haijalishi nani amekosea,ila kama ajali imesababisha kifo ulipaswa useme pole kabla ya kuandika hii utumbo wa "alifata nini barabarani".

Shame on you!!
Kuna vichawa vya uv nanii vinajikutaga sana yaaani
 
Kuna zaidi ya mawaziri 30, unalalamika na umeshindwa hata kumtaja huyo waziri, hata plate number ya gari lake ambayo inaonesha ni waziri wa wizara gani umeshindwa kuitaja?! Sasa unatuingiza katika uchunguzi wa kujua waziri gani alikuwa mkoani Kigoma, what if kulikuwa na ziara na walikuwa mawaziri zaidi ya mmoja mkoani hapo je msaada utapatikanaje?
Binasfi naona umeleta habari ambayo haijakamilika na ni ngumu kupata msaada kwa taarifa hii fupi uliyoileta.
Nimtaje jina alafu kesho... au bas tu
 
Pole sana ndugu kwa kuondokewa na mpedwa wako, pole sana.
Msafara kabla haujapita hua kuna maandalizi ya msafara huo kupita na baada mazingira ya msafara kukaa sawa kuna king'ora kinapita kwanza either diffender au pikipiki, huyu mjombaa yeye haya yote hakuona
 
Hivi kwa nini wabongo mmekosa utu siku hizi?

Hasa mlio katika mlengo wa kijani,mnaona mtu akifa kifo kinachotokana na serikali mnakosa kabisa utu hata kidogo.

Hapa haijalishi nani amekosea,ila kama ajali imesababisha kifo ulipaswa useme pole kabla ya kuandika hii utumbo wa "alifata nini barabarani".

Shame on you!!
Wabongo bora hata Wazulu mkuu wana roho mbaya sana hao..
 
Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.

Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.

Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Halafu taahira mmoja chawa asiye na akili anatetea serikali ya kidhalimu hii .
Ccm ni cancer nchi hii , hiyo miaka 25 unayosema hicho kitu kilishatengemezwa mpaka sasa na waTanzania tunakiishi , nchi hii kuna tabaka la watawalana na watwana vijakazi
 
Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.

Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.

Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Alafu utakuta alikuwa ni sisiemu kindakindaki na kauli yake ya KIDUMU CHAMA CHA MAJAMBAZI!
 
Wabongo bora hata Wazulu mkuu wana roho mbaya sana hao..
Halafu hii nchi inaitwa kisiwa cha amani na upendo ,
Majitu yana roho mbaya sana hii nchi asikwambie mtu na ni makondoo na manafiki pia ,hii mixture unapata taifa kama hili , wewe jiulize ni sehemu gani inaweza fanyika kitu cha namna hiyo na ikapita tu kilaini hivyo , Ni nchi hii tu trust me
 
Utaambiwa ajali zinatokea mpk nchi za magharibi.. watu wanagongwa.. leo hii Mjomba wako kula 'ngao ya Hilux Macho ya Panzi' ndio iwe topic kuubwa...

Em tulia..
 
Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.

Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.

Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Pole
 
Hivi kwa nini wabongo mmekosa utu siku hizi?

Hasa mlio katika mlengo wa kijani,mtu akifa kifo kinachotokana na serikali mnakosa kabisa utu hata kidogo.

Hapa haijalishi nani amekosea,ila kama ajali imesababisha kifo ulipaswa useme pole kabla ya kuandika hii utumbo wa "alifata nini barabarani".

Shame on you!!
Msamehe
 
Back
Top Bottom