Msafara wa Waziri huku Kigoma, ulimgonga mjomba wangu lakini cha ajabu hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka?

Kuna vichawa vya uv nanii vinajikutaga sana yaaani
 
Nimtaje jina alafu kesho... au bas tu
 
Pole sana ndugu kwa kuondokewa na mpedwa wako, pole sana.
Msafara kabla haujapita hua kuna maandalizi ya msafara huo kupita na baada mazingira ya msafara kukaa sawa kuna king'ora kinapita kwanza either diffender au pikipiki, huyu mjombaa yeye haya yote hakuona
 
Wabongo bora hata Wazulu mkuu wana roho mbaya sana hao..
 
Halafu taahira mmoja chawa asiye na akili anatetea serikali ya kidhalimu hii .
Ccm ni cancer nchi hii , hiyo miaka 25 unayosema hicho kitu kilishatengemezwa mpaka sasa na waTanzania tunakiishi , nchi hii kuna tabaka la watawalana na watwana vijakazi
 
Alafu utakuta alikuwa ni sisiemu kindakindaki na kauli yake ya KIDUMU CHAMA CHA MAJAMBAZI!
 
Wabongo bora hata Wazulu mkuu wana roho mbaya sana hao..
Halafu hii nchi inaitwa kisiwa cha amani na upendo ,
Majitu yana roho mbaya sana hii nchi asikwambie mtu na ni makondoo na manafiki pia ,hii mixture unapata taifa kama hili , wewe jiulize ni sehemu gani inaweza fanyika kitu cha namna hiyo na ikapita tu kilaini hivyo , Ni nchi hii tu trust me
 
Utaambiwa ajali zinatokea mpk nchi za magharibi.. watu wanagongwa.. leo hii Mjomba wako kula 'ngao ya Hilux Macho ya Panzi' ndio iwe topic kuubwa...

Em tulia..
 
Pole
 
Msamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…