Mi nawajua hao kitambo sana ni wanafiki kupita kiasi hawajali maisha ya mtu mwingine kabisaa.Halafu hii nchi inaitwa kisiwa cha amani na upendo ,
Majitu yana roho mbaya sana hii nchi asikwambie mtu na ni makondoo na manafiki pia ,hii mixture unapata taifa kama hili , wewe jiulize ni sehemu gani inaweza fanyika kitu cha namna hiyo na ikapita tu kilaini hivyo , Ni nchi hii tu trust me
Pole sana Ndugu yangu, tukutane Kwenye maandamano. If we must die ......Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
😁 😁 😁 😁 Dahh AiseMjomba alikuwa mpinzani?
Mkienda mahakami hamshindi hiyo kesi sababu wanapokuwapo Top leaders wa nchi na Jaji Mkuu anakuwepo, Dawa ni kupiga kurujuwani, tena hapo kigoma waganga kama woteWatanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.
Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.
Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Mimi mwenyewe sijaelewa hawa wana ccm wamelishwa nini siku hizi maana wamekuwa na roho za kikatili sana dhidi ya watanzania wenzao wengine, hii ni dalili ya laana kubwaHivi kwa nini wabongo mmekosa utu siku hizi?
Hasa mlio katika mlengo wa kijani,mtu akifa kifo kinachotokana na serikali mnakosa kabisa utu hata kidogo.
Hapa haijalishi nani amekosea,ila kama ajali imesababisha kifo ulipaswa useme pole kabla ya kuandika hii utumbo wa "alifata nini barabarani".
Shame on you!!
Pole Sana.Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.
Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.
Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Hakuuona msafara? Au aligongwajeWatanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.
Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.
Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Alifuata nini barabarani? Hili ni swali la msingi jibu sio kuleta ujingaHivi kwa nini wabongo mmekosa utu siku hizi?
Hasa mlio katika mlengo wa kijani,mtu akifa kifo kinachotokana na serikali mnakosa kabisa utu hata kidogo.
Hapa haijalishi nani amekosea,ila kama ajali imesababisha kifo ulipaswa useme pole kabla ya kuandika hii utumbo wa "alifata nini barabarani".
Shame on you!!
Your mom ana roho chafu, na angekua your mom ingependeza zaidiAngekuwa baba, mtoto au mama yako ungeongea tofauti, na unaonekana una roho chafu
Kifo kimoja tu hakuna haja ya kupiga kelele, waziri ni mtu wa daraja la juu,serikali italipia gharama za mazishi.Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.
Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.
Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Pole Sana boss,mhhhhWatanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.