Msafara wa Waziri huku Kigoma, ulimgonga mjomba wangu lakini cha ajabu hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka?

CCM ni wanyama sana tuwakatae!
 
Motorcades zikiwa kwenye msafara usijichanganye utapigwa tairi no compensation at all ndg achana nayo Ila mwende kwa rto Kigoma atakuwa kapewa maelekezo kuhusiana na tukio ili mjue nn Cha kufanya Ila nachojua onyo Kali atapewa marehemu kwa uzembe
 
Ndugu pole kwa msiba lakini kwa nijuavyo mimi miongoni mwa vitu unapaswa kuwa navyo makini ni misafara ya viongozi wakuu wa Kitaifa!
 
Tusha ambiwa kifo ni kifoo tu ata ufungwe jiwe urushiwe kwenye maji ili mradi ufe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…