Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mala=maraKwa mala ya kwanza namsikia mtu mzima farid kubaaa kwenye polojo za wahuni wa mtaa.
Wewe ni umeolewa na mzee kagenzi?Simara naomba uwe mke wangu wa pili.....
Tatizo ni aina ya muziki au waimbaji wa aina ya muziki husika..!?Tatizo wengi wetu tukiambiwa ukweli tunachukia,ona sasa Msaga Sumu anamwambia Fid Q ana roho mbaya wakati jamaa kasema ukweli.
Jina lenyewe tu Msaga Sumu linasadifu maneno ya Fid Q.
Namshangaa Prof J eti nae kaimba singeli khaaa.
Anyway you try putting it.. Singeli hii sio uramaduni tena ni uhuni na ujinga.. Hakuna inachoelimisha hakuna inchohifadhi.. Wakiwaachia akina msagasumu na ujinga wanaofanya..kama utamaduni utageuka na kufa kama ilivyokuwa kwa Taarabu.
Et hainaga ushemeji....
Nn Kama sio ufala alafu MTU anadai sio mziki wa kihuni