Msaga Sumu amshukia vikali Fid Q, asema atafute kazi ya kufanya, aache roho mbaya

Msaga Sumu amshukia vikali Fid Q, asema atafute kazi ya kufanya, aache roho mbaya

Tatizo wengi wetu tukiambiwa ukweli tunachukia,ona sasa Msaga Sumu anamwambia Fid Q ana roho mbaya wakati jamaa kasema ukweli.
Jina lenyewe tu Msaga Sumu linasadifu maneno ya Fid Q.
Namshangaa Prof J eti nae kaimba singeli khaaa.
Tatizo ni aina ya muziki au waimbaji wa aina ya muziki husika..!?
 
Anyway you try putting it.. Singeli hii sio uramaduni tena ni uhuni na ujinga.. Hakuna inachoelimisha hakuna inchohifadhi.. Wakiwaachia akina msagasumu na ujinga wanaofanya..kama utamaduni utageuka na kufa kama ilivyokuwa kwa Taarabu.


Mimi na wewe tuko kwenye Dunia tofauti kwenye hili swala, maana maelezo yangu na comment yako haviendani.
 
Et hainaga ushemeji....
Nn Kama sio ufala alafu MTU anadai sio mziki wa kihuni

Busara na mziki wapi na wapi bana!!.. nyinyi kama mnataka maneno ya busara si mkasome biblia huko au msikilize magospels yenu msinzie mlale?? huku kwingine mnafuata nini?? Huyu fid mwenyewe mbona kwenye huyu na yule katukana sana tu.. aende zake na wivu wake wa kike!!..
 
Back
Top Bottom