BABA WA IMAN Member Joined Jun 23, 2014 Posts 55 Reaction score 7 Apr 10, 2018 #1 Natanguliza salamu, pia nataka msaada wa ufafanuzi juu ya dhamana ya kesi iliopo mahakama ya mwanzo kesi ya madai na pia ya wizi. Je kunaurazima wa wadhamini wawili mmoja wapo awe mfanyakazi wa serikalini. Au hili swala lipoje juu ya dhamana?
Natanguliza salamu, pia nataka msaada wa ufafanuzi juu ya dhamana ya kesi iliopo mahakama ya mwanzo kesi ya madai na pia ya wizi. Je kunaurazima wa wadhamini wawili mmoja wapo awe mfanyakazi wa serikalini. Au hili swala lipoje juu ya dhamana?
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Apr 10, 2018 #2 Mkuu: MsaHADA ndiyo nini? Kiswahili mnakiharibu jamani, haipendezi we Mtanzania halafu hata kiswahili hujui kuandika. Ngoja wabobezi wa sheria waje
Mkuu: MsaHADA ndiyo nini? Kiswahili mnakiharibu jamani, haipendezi we Mtanzania halafu hata kiswahili hujui kuandika. Ngoja wabobezi wa sheria waje
ketete JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 792 Reaction score 796 Apr 10, 2018 #3 Ni vema ufuate mashariti ya dhamana kama hakimu alivyo ainisha.
BABA WA IMAN Member Joined Jun 23, 2014 Posts 55 Reaction score 7 Apr 10, 2018 Thread starter #4 asante mkuu