Msahada wa kisheria juu ya dhamana mahakamani

Msahada wa kisheria juu ya dhamana mahakamani

BABA WA IMAN

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
55
Reaction score
7
Natanguliza salamu, pia nataka msaada wa ufafanuzi juu ya dhamana ya kesi iliopo mahakama ya mwanzo kesi ya madai na pia ya wizi. Je kunaurazima wa wadhamini wawili mmoja wapo awe mfanyakazi wa serikalini.

Au hili swala lipoje juu ya dhamana?
 
Mkuu:
MsaHADA ndiyo nini?
Kiswahili mnakiharibu jamani, haipendezi we Mtanzania halafu hata kiswahili hujui kuandika.

Ngoja wabobezi wa sheria waje
 
Ni vema ufuate mashariti ya dhamana kama hakimu alivyo ainisha.
 
Back
Top Bottom