Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ndugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake).
Haya sasa mpango uko kama hivi, nauza mgoma wangu huu Toyota Wish, ukiuchukua naongeza hela kuduchu tu nilizozipata kwa kuuza maandazi, bagia na chai.
Hebu tuwezeshane jamani, nahitaji 8 mil only.
Haya sasa mpango uko kama hivi, nauza mgoma wangu huu Toyota Wish, ukiuchukua naongeza hela kuduchu tu nilizozipata kwa kuuza maandazi, bagia na chai.
Hebu tuwezeshane jamani, nahitaji 8 mil only.