Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Na umechagua gari nzuri hapo Rwanda wana kiwanda cha VW baada ya muda yatajaa hapo kwetu tusubiri Wazee wa vyuma chakavu maana haya mapya mapya Kodi utadhani unaanzisha kiwanda...Mimi huko yupo ndugu yake Golf 7 Mkuu hiyo ni ndege ya chini ikishika road na ipo mwendo ikaua nzito hatari hata polo ina sifa hii pia...✌️ Victory forward