Msaidie Bujibuji anunue VW Polo

Msaidie Bujibuji anunue VW Polo

Babu kununua VW ni simple, mziki upo kwenye kodi, sijui TZ wana beef gani na gari za mjerumani....... Yaani unapigwa kodi ya 200%
 
Nilikuwa naangalia hapa Volvo S80 kwa japan, ipo kule hadi kufika hapa ni 42,000,000 million, ila TRA nao wanataka 37,296,268.86 million ya mwaka 2014.. nimeishia kucheka tu
Sasa sijui ni kodi sijui ni adhabu
 
Ndio wanafanya ivo ili kucontrol uiingizaji wa magari nchini.... bila kufanya hvyo nchi itageuka dampo la magari coz nchi itaingia kwenye ile hali ya mtu akipata vimilion 2 vyake anaagiza gari atakama hawezi kulihudumia mwisho wa siku analidamp tuu. ko TiaRaey wanacontrol importation ya magari nchini.
Hivi Tanzania inawatu wangapi wanaomudu kununua magari?!
 
Nikweli...... lakin kwa anae agiza most current car anakua na mzigo mdogo kwenye Excise Duty due to Age lakini cost kubwa inakua kwenye Customs Value CIF, Import Duty na VAT sijui hua ni kwanini na inakua haina maana ya kupunguza au kuandoa Excise Duty due to Age.
Wanatoa huku wanajazia huku.....
 
Kuzuia gari chakavu kwa nchi za ulimwengu wetu ni ngumu ila kumoderate ni swala ambalo hatuwezi kushindwa. Pia wanafanya ivo kumodarate idadi ya magari nchini hasa Private Cars ili kuendana na aina ya miundombinu tuliyonayo hasa kwenye majiji kama Dar ambalo linauwezo mdogo sana wa kuhumili traffic jams.
Sasa sisi ndio tumewakataza wasiendeleze mji ili kuendana na mabadiliko?!

Basi itafika kipindi watu wakiwa wengi wataanza kutuwekea sumu tupungue.... Pumbavu sana hawa watu
 
Sasa sisi ndio tumewakataza wasiendeleze mji ili kuendana na mabadiliko?!

Basi itafika kipindi watu wakiwa wengi wataanza kutuwekea sumu tupungue.... Pumbavu sana hawa watu
Aisee mecheka sana..... swala la kuendeleza jiji kama Dar wamesha chelewa la sivyo ni kuingia cost kubwa sana ya ubomoaji wa majengo ili kupata barabara za kutosha kwajili ya kupunguza folen kutoka kwenye hizi trunk roads yaan Moro roadm BGM road na ile kwenda Kusini
 
Nlikuwa nimetoka kwenye jacuuzi ndo nikaona wakati napata juice niangalie watanzania mna hali gani. Vipi Corona ipo ? Mnaaendelea Kujifukuza? Angalieni sana inaweza leta madhara. Doctor wangu alisema kujifukuza kunaweza athiri pia njia ya hewa. Kusipitilize.

Wewe ni member mkubwa JF nunua gari achana na vyombo vya usafiri. Find a good car which at least cost 50,000,000 to 70,000,000 its not bad.

Haya mawazo ya kiume sana haya.....asante mkuu.
 
Back
Top Bottom