Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
1 💓Mkuu kila la heri. Ningekuwa na mteja wa Wish ningekuungusha. Nina mteja tu wa Nadia.
Tutaenda wote 🏥Usisahau kunipa lift mkuu
ThanksKila la kheri. Mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiduku Lilo akija hapa atasema hii gari haina hata hadhi ya kuendeshwa na housegirl wake [emoji3]
Sawa sawa Mkuu " fear is in the eyes of the beholder" mtunzi mmoja mahiri sana wa vitabu alitoa kitabu hicho..Nothing lasts forever. Mkuu tunazaliwa ili tufe
✌️ Victory forwardSawa sawa Mkuu " fear is in the eyes of the beholder" mtunzi mmoja mahiri sana wa vitabu alitoa kitabu hicho..