Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Na umechagua gari nzuri hapo Rwanda wana kiwanda cha VW baada ya muda yatajaa hapo kwetu tusubiri Wazee wa vyuma chakavu maana haya mapya mapya Kodi utadhani unaanzisha kiwanda...Mimi huko yupo ndugu yake Golf 7 Mkuu hiyo ni ndege ya chini ikishika road na ipo mwendo ikaua nzito hatari hata polo ina sifa hii pia...✌️ Victory forward
Hizi ndio ndingaNa umechagua gari nzuri hapo Rwanda wana kiwanda cha VW baada ya muda yatajaa hapo kwetu tusubiri Wazee wa vyuma chakavu maana haya mapya mapya Kodi utadhani unaanzisha kiwanda...Mimi huko yupo ndugu yake Golf 7 Mkuu hiyo ni ndege ya chini ikishika road na ipo mwendo ikaua nzito hatari hata polo ina sifa hii pia...
Acha kabisa Mkuu Rwanda wanetoa VAT kuwa zero rate kwa magari yenye thamani ya 60,000 usd ili kuongeza wawekezaji wakati kwetu ukijaribu kuja na hilo Kodi utakayopigwa unaweza kurudi nalo dzonga wapo walioondoka na magari matata hapa hayapo kwenye kikokoteo Cha tra walipofika Tunduma ilibidi yarudi tena SA Kodi ya kukomoa...Hizi ndio ndinga
Mawazo ya kimasikini na kifukara ndio yanayoongoza nchi. Badala ya kuifanya nchi kuwa Paradise, wewe unaifanya iwe hell, watu waishi kama MASHETANIAcha kabisa Mkuu Rwanda wanetoa VAT kuwa zero rate kwa magari yenye thamani ya 60,000 usd ili kuongeza wawekezaji wakati kwetu ukijaribu kuja na hilo Kodi utakayopigwa unaweza kurudi nalo dzonga wapo walioondoka na magari matata hapa hayapo kwenye kikokoteo Cha tra walipofika Tunduma ilibidi yarudi tena SA Kodi ya kukomoa...
Ndo ulikuwa unaendesha hii kitu? Jitahidi upate gari sasa . Achana na haya machuma na plastics. Nunua Polo angalia ya miaka ya 2017-2021. Usinunue gari ambayo toka itengenezwe imepita miaka 5.Ndugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake).
Haya sasa mpango uko kama hivi, nauza mgoma wangu huu Toyota Wish, ukiuchukua naongeza hela kuduchu tu nilizozipata kwa kuuza maandazi, bagia na chai.
Hebu tuwezeshane jamani, nahitaji 8 mil only.
Ukweli MchunguNdo ulikuwa unaendesha hii kitu? Jitahidi upate gari sasa . Achana na haya machuma na plastics. Nunua Polo angalia ya miaka ya 2017-2021. Usinunue gari ambayo toka itengenezwe imepita miaka 5.
Was cravingly waiting for your replyNdo ulikuwa unaendesha hii kitu? Jitahidi upate gari sasa . Achana na haya machuma na plastics. Nunua Polo angalia ya miaka ya 2017-2021. Usinunue gari ambayo toka itengenezwe imepita miaka 5.
Nlikuwa nimetoka kwenye jacuuzi ndo nikaona wakati napata juice niangalie watanzania mna hali gani. Vipi Corona ipo ? Mnaaendelea Kujifukuza? Angalieni sana inaweza leta madhara. Doctor wangu alisema kujifukuza kunaweza athiri pia njia ya hewa. Kusipitilize.Was cravingly waiting for your reply
AsanteNlikuwa nimetoka kwenye jacuuzi ndo nikaona wakati napata juice niangalie watanzania mna hali gani. Vipi Corona ipo ? Mnaaendelea Kujifukuza? Angalieni sana inaweza leta madhara. Doctor wangu alisema kujifukuza kunaweza athiri pia njia ya hewa. Kusipitilize.
Wewe ni member mkubwa JF nunua gari achana na vyombo vya usafiri. Find a good car which at least cost 50,000,000 to 70,000,000 its not bad.
Uko pande zipi Mkuu?Nlikuwa nimetoka kwenye jacuuzi ndo nikaona wakati napata juice niangalie watanzania mna hali gani. Vipi Corona ipo ? Mnaaendelea Kujifukuza? Angalieni sana inaweza leta madhara. Doctor wangu alisema kujifukuza kunaweza athiri pia njia ya hewa. Kusipitilize.
Wewe ni member mkubwa JF nunua gari achana na vyombo vya usafiri. Find a good car which at least cost 50,000,000 to 70,000,000 its not bad.
Nlikuwa nimetoka kwenye jacuuzi ndo nikaona wakati napata juice niangalie watanzania mna hali gani. Vipi Corona ipo ? Mnaaendelea Kujifukuza? Angalieni sana inaweza leta madhara. Doctor wangu alisema kujifukuza kunaweza athiri pia njia ya hewa. Kusipitilize.
Wewe ni member mkubwa JF nunua gari achana na vyombo vya usafiri. Find a good car which at least cost 50,000,000 to 70,000,000 its not bad.
Akikukopesha nitagBoss kidukulilo naomba nikopeshe 1M nitarudisha ndani ya mwezi mmoja ,,,nimekwama boss
Akikukopesha nitag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DaahNlikuwa nimetoka kwenye jacuuzi ndo nikaona wakati napata juice niangalie watanzania mna hali gani. Vipi Corona ipo ? Mnaaendelea Kujifukuza? Angalieni sana inaweza leta madhara. Doctor wangu alisema kujifukuza kunaweza athiri pia njia ya hewa. Kusipitilize.
Wewe ni member mkubwa JF nunua gari achana na vyombo vya usafiri. Find a good car which at least cost 50,000,000 to 70,000,000 its not bad.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktk ubora wako lolNdo ulikuwa unaendesha hii kitu? Jitahidi upate gari sasa . Achana na haya machuma na plastics. Nunua Polo angalia ya miaka ya 2017-2021. Usinunue gari ambayo toka itengenezwe imepita miaka 5.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeeh hatareeeh San lolNlikuwa nimetoka kwenye jacuuzi ndo nikaona wakati napata juice niangalie watanzania mna hali gani. Vipi Corona ipo ? Mnaaendelea Kujifukuza? Angalieni sana inaweza leta madhara. Doctor wangu alisema kujifukuza kunaweza athiri pia njia ya hewa. Kusipitilize.
Wewe ni member mkubwa JF nunua gari achana na vyombo vya usafiri. Find a good car which at least cost 50,000,000 to 70,000,000 its not bad.
Vipi kuhusu GTINa umechagua gari nzuri hapo Rwanda wana kiwanda cha VW baada ya muda yatajaa hapo kwetu tusubiri Wazee wa vyuma chakavu maana haya mapya mapya Kodi utadhani unaanzisha kiwanda...Mimi huko yupo ndugu yake Golf 7 Mkuu hiyo ni ndege ya chini ikishika road na ipo mwendo ikaua nzito hatari hata polo ina sifa hii pia...