Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Huyo ndio baba yao Mkuu hizo gari ni nzuri sana unaweza kuagiza kwa sababu sidhani kama itakua ina kodi kubwa kwa jinsi ilivyo itadharauliwa tafuta za 2010 kuja mbele uta enjoy gari...Vipi kuhusu GTI
Nilikuwa naangalia hapa Volvo S80 kwa japan, ipo kule hadi kufika hapa ni 42,000,000 million, ila TRA nao wanataka 37,296,268.86 million ya mwaka 2014.. nimeishia kucheka tuHuyo ndio baba yao Mkuu hizo gari ni nzuri sana unaweza kuagiza kwa sababu sidhani kama itakua ina kodi kubwa kwa jinsi ilivyo itadharauliwa tafuta za 2010 kuja mbele uta enjoy gari...
Weka no ya smuNdugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake).
Haya sasa mpango uko kama hivi, nauza mgoma wangu huu Toyota Wish, ukiuchukua naongeza hela kuduchu tu nilizozipata kwa kuuza maandazi, bagia na chai.
Hebu tuwezeshane jamani, nahitaji 8 mil only.
[emoji16]Nlikuwa nimetoka kwenye jacuuzi ndo nikaona wakati napata juice niangalie watanzania mna hali gani. Vipi Corona ipo ? Mnaaendelea Kujifukuza? Angalieni sana inaweza leta madhara. Doctor wangu alisema kujifukuza kunaweza athiri pia njia ya hewa. Kusipitilize.
Wewe ni member mkubwa JF nunua gari achana na vyombo vya usafiri. Find a good car which at least cost 50,000,000 to 70,000,000 its not bad.
hakikisha unatoa risiti kwa mnunuaji 😀 😀Ndugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake).
Haya sasa mpango uko kama hivi, nauza mgoma wangu huu Toyota Wish, ukiuchukua naongeza hela kuduchu tu nilizozipata kwa kuuza maandazi, bagia na chai.
Hebu tuwezeshane jamani, nahitaji 8 mil only.
Mkuu mbona kama vile umepigwa ganzi???Asante
Mimi najitoa shilingi milioni mbili ya maandishi kumchangia ndugu yetu BujibujiNdugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake).
Haya sasa mpango uko kama hivi, nauza mgoma wangu huu Toyota Wish, ukiuchukua naongeza hela kuduchu tu nilizozipata kwa kuuza maandazi, bagia na chai.
Hebu tuwezeshane jamani, nahitaji 8 mil only.
Ndio wanafanya ivo ili kucontrol uiingizaji wa magari nchini.... bila kufanya hvyo nchi itageuka dampo la magari coz nchi itaingia kwenye ile hali ya mtu akipata vimilion 2 vyake anaagiza gari atakama hawezi kulihudumia mwisho wa siku analidamp tuu. ko TiaRaey wanacontrol importation ya magari nchini.Hawa Ti aRa Ei wanaleta mchezo na hela za watu. Gari ununue million 5 kodi ulipe 6.5M kweli?
Ningewaona wana busara kama wangeondoa kodi kwa wanaonunua gari mpya za within 5 yrs from the date of manufacture.Ndio wanafanya ivo ili kucontrol uiingizaji wa magari nchini.... bila kufanya hvyo nchi itageuka dampo la magari coz nchi itaingia kwenye ile hali ya mtu akipata vimilion 2 vyake anaagiza gari atakama hawezi kulihudumia mwisho wa siku analidamp tuu. ko TiaRaey wanacontrol importation ya magari nchini.
Nikweli...... lakin kwa anae agiza most current car anakua na mzigo mdogo kwenye Excise Duty due to Age lakini cost kubwa inakua kwenye Customs Value CIF, Import Duty na VAT sijui hua ni kwanini na inakua haina maana ya kupunguza au kuandoa Excise Duty due to Age.Ningewaona wana busara kama wangeondoa kodi kwa wanaonunua gari mpya za within 5 yrs from the date of manufacture.
Pamoja na gari za biashara kama ma lorry na machine
Ni upumbavu, yani inatakiwa ukiagiza gari la kuanzia 2016 au zaidi ulipie port charges na clearance tu. Hii itawafanya watu wengi wapambane kuagiza gari za miaka hio. Sio hali ya sasa ya kujaziana makodi bila mpangilio. Uagize ya mwaka 2003 au ya 2018 maumivu yako pale pale tu.Nikweli...... lakin kwa anae agiza most current car anakua na mzigo mdogo kwenye Excise Duty due to Age lakini cost kubwa inakua kwenye Customs Value CIF, Import Duty na VAT sijui hua ni kwanini na inakua haina maana ya kupunguza au kuandoa Excise Duty due to Age.
Kuzuia gari chakavu kwa nchi za ulimwengu wetu ni ngumu ila kumoderate ni swala ambalo hatuwezi kushindwa. Pia wanafanya ivo kumodarate idadi ya magari nchini hasa Private Cars ili kuendana na aina ya miundombinu tuliyonayo hasa kwenye majiji kama Dar ambalo linauwezo mdogo sana wa kuhumili traffic jams.Ni upumbavu, yani inatakiwa ukiagiza gari la kuanzia 2016 au zaidi ulipie port charges na clearance tu. Hii itawafanya watu wengi wapambane kuagiza gari za miaka hio. Sio hali ya sasa ya kujaziana makodi bila mpangilio. Uagize ya mwaka 2003 au ya 2018 maumivu yako pale pale tu.
Hilo lengo la kusema wanazuia gari chakavu wakati hata gari mpya mpya kodi zake ni za ajabu haliingii akilini.
Hii nchi sidhani kama kuna kitu chochote hua kinafanyika kwa lengo la kumsaidia mwananchi.Ni upumbavu, yani inatakiwa ukiagiza gari la kuanzia 2016 au zaidi ulipie port charges na clearance tu. Hii itawafanya watu wengi wapambane kuagiza gari za miaka hio. Sio hali ya sasa ya kujaziana makodi bila mpangilio. Uagize ya mwaka 2003 au ya 2018 maumivu yako pale pale tu.
Hilo lengo la kusema wanazuia gari chakavu wakati hata gari mpya mpya kodi zake ni za ajabu haliingii akilini.
Hakuna sema wanakamua hapo kujiongezea mapato ,leo Hii nani atakosa mafuta ya kuendesha gari mziki upo kwenye kulinunua tuNdio wanafanya ivo ili kucontrol uiingizaji wa magari nchini.... bila kufanya hvyo nchi itageuka dampo la magari coz nchi itaingia kwenye ile hali ya mtu akipata vimilion 2 vyake anaagiza gari atakama hawezi kulihudumia mwisho wa siku analidamp tuu. ko TiaRaey wanacontrol importation ya magari nchini.
Humu jf maskini mimi tuNdugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake).
Haya sasa mpango uko kama hivi, nauza mgoma wangu huu Toyota Wish, ukiuchukua naongeza hela kuduchu tu nilizozipata kwa kuuza maandazi, bagia na chai.
Hebu tuwezeshane jamani, nahitaji 8 mil only.
Kununua gari sio issue sana mkuu, coz mtu anakua amejidhatiti kufanya ivo... lakin kero inakuja pale kwenye kulihudumia gari yaan masawala ya servicing, repairing and maintenance likiwemo pia hilo swala la mafuta ambalo sio issue kubwa sana coz kila mtu anachukua gari kulingana na uwezo wake wa kulihudumia mafuta, ila kwa maswala ya matengenezo ni issue nyingne kabisa na inacost sana.Hakuna sema wanakamua hapo kujiongezea mapato ,leo Hii nani atakosa mafuta ya kuendesha gari mziki upo kwenye kulinunua tu
Ndio maana inabidi kua makini sana kwenye uchaguzi wa gariKununua gari sio issue sana mkuu, coz mtu anakua amejidhatiti kufanya ivo... lakin kero inakuja pale kwenye kulihudumia gari yaan masawala ya servicing, repairing and maintenance likiwemo pia hilo swala la mafuta ambalo sio issue kubwa sana coz kila mtu anachukua gari kulingana na uwezo wake wa kulihudumia mafuta, ila kwa maswala ya matengenezo ni issue nyingne kabisa na inacost sana.
Yani watu wengi wanajipanga kununua gari na kidogo kwenye swala la mafuta tu, kumbe kumiliki gari ni zaidi ya hivyo. swala la matumizi ya mafuta ya gari fulani ni kitu ambacho mtu anaweza kufanya makadirio kulingana na uwezo wa gari na route zake za kila siku hata kabla ya kununua gari hilo, ko mtu unakuwa unajua matumizi ya mafuta kwa mwezi kwenye hilo gari. Lakini ukija kwenye swala la matengenezo apo huwezi kufanya makadirio kabisa coz hujui gari itaharibika muda gani na kitu/kifaa gani.Ndio maana inabidi kua makini sana kwenye uchaguzi wa gari