Msaidie Bujibuji anunue VW Polo

Babu kununua VW ni simple, mziki upo kwenye kodi, sijui TZ wana beef gani na gari za mjerumani....... Yaani unapigwa kodi ya 200%
 
Nilikuwa naangalia hapa Volvo S80 kwa japan, ipo kule hadi kufika hapa ni 42,000,000 million, ila TRA nao wanataka 37,296,268.86 million ya mwaka 2014.. nimeishia kucheka tu
Sasa sijui ni kodi sijui ni adhabu
 
Hivi Tanzania inawatu wangapi wanaomudu kununua magari?!
 
Wanatoa huku wanajazia huku.....
 
Sasa sisi ndio tumewakataza wasiendeleze mji ili kuendana na mabadiliko?!

Basi itafika kipindi watu wakiwa wengi wataanza kutuwekea sumu tupungue.... Pumbavu sana hawa watu
 
Sasa sisi ndio tumewakataza wasiendeleze mji ili kuendana na mabadiliko?!

Basi itafika kipindi watu wakiwa wengi wataanza kutuwekea sumu tupungue.... Pumbavu sana hawa watu
Aisee mecheka sana..... swala la kuendeleza jiji kama Dar wamesha chelewa la sivyo ni kuingia cost kubwa sana ya ubomoaji wa majengo ili kupata barabara za kutosha kwajili ya kupunguza folen kutoka kwenye hizi trunk roads yaan Moro roadm BGM road na ile kwenda Kusini
 

Haya mawazo ya kiume sana haya.....asante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…