Ubarikiwe sana ndugu.nikikuta kuna mwanaume na mwanamke wanauza bidhaa za aina moja, naendaga kununua kwa mwanaume mwenzangu.
Yes Conservativism is the way to go, i personally regard myself as extremely Conservative guy and I have strong aversion to modernisation....!!Ila sio sana maana naona conservatives wameanza kuja taratibu kurudisha misingi fulani lakini pia wanaume tumeanza pia kuwa vocals.
Women empowerment haikuwa kitu kibaya ila hii hali ya kutafuta jambo jipya la kulipinga ili ionekane movement ipo relevant. Hapo ndo wanakosea
Umeongea ukweli mkuu, women empowerment uenda haikua na ajenda mbaya nyuma ya pazia tatizo wanawake wengi waliitafsiri vibaya. Walifikiri ni movement ambayo imekuja kuwapa nafasi ya kulipiza kisasi ndio maana tumefika huku kwenye mahusiano ya kuviziana.
Mimi mwanamke aliyenisaidia mi mama yangu mzazi, na dada zangu, wengine tofauti na hapo hakuna kitu kabisa.Tofauti na mama na dada zako? Fikiria simp kaona tu post ya demu instagram kazama inbox na mhamala kafanya, kuna mwanamke anaweza kufanya ivyo?
Maneno ya Spika Ndugai unayakumbuka? Alisema wanawake wanajaliwa sana kuliko wanaume mpaka mtoto wa kiume kasahaulika,sasa mtoto wa kiume kuishia kuwa mvuta bangi, aatao hao hao wanawake waliokuwa impowered mwishowe mzani utageuka.Umeongea ukweli mkuu, women empowerment uenda haikua na ajenda mbaya nyuma ya pazia tatizo wanawake wengi waliitafsiri vibaya. Walifikiri ni movement ambayo imekuja kuwapa nafasi ya kulipiza kisasi ndio maana tumefika huku kwenye mahusiano ya kuviziana.