Msaidie mwanaume mwenzako

Msaidie mwanaume mwenzako

Mwanaume akitoa chozi anadhihakiwa na wanaume wenzake lakini mwanamke akikunja uso tu wanaume wanaume wale wale waliomdhiahki mwanaume mwenzao wanamkimbilia uyo mwanamke kuhakikisha anatabasamu

Mwanaume akiomba msaada kwa wanaume wenzake anadhalilishwa lakini mwanamke akipost picha tu mtandaoni mwanaume yule yule aliemtosa mwanaume mwenzake anazama inbox uko anaweza kufanya hata mhamala fasta tu.

It very sad, a man's suffering means nothing to his fellow man but that fellow man believe woman must not suffer. Men who are more generous to women and see no reason to be generous to men are miserable

Ukweli ni kwamba wewe mwanaume unaeona ni sawa kuwasaidia wanawake na kuwatosa wanaume wenzako siku utakapopata shida ni hao hao wanaume wenzako unaowafungia vioo ndio watakupiga tafu, all women you helped will disapper.

Kumsaidia mwanamke ni matumizi mabaya ya nguvu na rasilimali kwa sababu wanawake ni wabinafsi wanachokipata wanakilinda kiwanufaishe wao tu. Msaidie mwanaume mwenziko ambae akiwa na afya njema au akisimama kiuchumi jasho lake linanufaisha wengi.

Don't be simp.
Avator inaweza kukukosesha kazi.
 
Tatizo ni exchange in return, ile side unaweza pewa pussy na hata hivo tunaamini mwanaume ni strong zaidi ya mwanamke so anaweza jipambania.
Ndio maana wanaume wengi ni vichaa na tunakufa kwa depression za mapema kwa sababu machozi na huzuni za wengi hupuuzwa.
Wanaume wengi ni tough na tunaweza kuficha maumivu yetu kwa hiyo ukiona mwanaume kaongea usichukulie simple maana ni kweli kakwama

Kuhusu kutumia lust kufanya maamuzi ni ujinga tu tuliokaririshwa maana kutumia low points za mtu ili upate sex ni kukosa ubinadamu mkuu
 
Binafsi huwa ni mwepes sana kusaidia Me kuliko Ke. Hata kama simjui.
MWanaume mpaka akikulilia shida huwa naamini bas mwamba kwel kabanwa haswaa.
Mimi huwa siombi ombi msaada mpaka pale nimetaitiwa haswaaaa...
So nikion man ananililia shida bas huwa nina uhakika kabisa hapa mwamba kimeumana
 
Ndio maana wanaume wengi ni vichaa na tunakufa kwa depression za mapema kwa sababu machozi na huzuni za wengi hupuuzwa.
Wanaume wengi ni tough na tunaweza kuficha maumivu yetu kwa hiyo ukiona mwanaume kaongea usichukulie simple maana ni kweli kakwama

Kuhusu kutumia lust kufanya maamuzi ni ujinga tu tuliokaririshwa maana kutumia low points za mtu ili upate sex ni kukosa ubinadamu mkuu
Simaanishi nikitoa msaada kwa mwanamke nataka fadhila. Ninachozungumzia ni kumsaidia mwanamke ni rahisi zaidi kati ya mwanamke na mwanaume kwa superiority iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume.
 
Move ya "men first" inatakiwa ianze mapema kabla haijawa too late!
Wanawake watafikiri wanaume unaowaongelea ni maex na wanaume wachache waliobahatika kusimama kiuchumi watafikiri wanaume unaowaongelea ni strangers. Mwishoe wote kwa pamoja watakuambia wewe ni dhaifu, unataka mseleleko n.k lakini wanasahau kwamba na kaka zao, wadogo zao na watoto wao wa kiume nao ni jinsia ME.
 
Mi nasaidiaga wakiume tu kwanza , mwanamke hata ukimsaidia Hana msada kwako hata kidogo,,mfano unataka sehemu ya kulala ugenini umemkuta mwanamke uliemsaidia ameolewa atakusaidia sehemu ya kujihifadhi simpaka mumewe atoe ruhusa !?,saidia mwanaume mwenZako maana huijui kesho yako
 
Binafsi naona wanawake ni rahisi kusaidia kuliko ulivyofikiri , tena wengine hata kama hawana watafanya namna tu ili wakusaidie ili mradi tu usiwe na tabia za kimarioo .
Tofauti na mama na dada zako? Fikiria simp kaona tu post ya demu instagram kazama inbox na mhamala kafanya, kuna mwanamke anaweza kufanya ivyo?
 
Bora leo uwaambie hawa wanaumee wenzio ukweli ili akili iwakae sawa!!
Hakuna watu wanafiki na wabinafsi km wanaume wa Bongo, huwaga najiuliza huo urafiki na ushikaji una maana gani sasa km hakuna kupigana tafu au kukwamuana pale m1 anapokwamaa.

Kuna scenario hii,

Akati niko Chuo, kunae mates walikua na ushikaji, ilikua km mtu 3 yaan hawa walishibana haswaa, vimbweta wako wote, discssn walikua Pa1, hivyo yaan.
Sasa kunae m1 alipatwa na tatizo, wale wawili wakawa wanampa faraja ya maneno bila msaada, na akat mwenzao anataka msaada, achilia hawa washikaji zake, hawa wengine class mate, yaan wanaona mwanaume mwenzao anahitaji kukwamuliwa, lakini wanaishia kumpa maneno ya faraja tyuuh,

Kiukweli nilikua najisikia vibaya na kumuonea huruma mno yule kaka, ilifikia hatua nkaamua nimsaidie kwa kuwa tatizo lake lilikua ndani ya uwezo wangu, nika mkwamua kutoka kwenye tatizo na kuwa kwenye sawa na amani, maisha yakaendelea.

Sasa ikafika kuna wakati mdada alipata shida, alijaribu kuomba msaada, namna wanaume walivyokua wanajitoa kwake, Woiiiiih
Aseeeh nlishtukaa na kustaajabu sio km wale ambao walimuacha mwanaume mwenzao ahangaike.

Wanaume wa Bongo acheni ushikaji na urafiki wa kinafikii.
 
Back
Top Bottom