NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Move ya "men first" inatakiwa ianze mapema kabla haijawa too late!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avator inaweza kukukosesha kazi.Mwanaume akitoa chozi anadhihakiwa na wanaume wenzake lakini mwanamke akikunja uso tu wanaume wanaume wale wale waliomdhiahki mwanaume mwenzao wanamkimbilia uyo mwanamke kuhakikisha anatabasamu
Mwanaume akiomba msaada kwa wanaume wenzake anadhalilishwa lakini mwanamke akipost picha tu mtandaoni mwanaume yule yule aliemtosa mwanaume mwenzake anazama inbox uko anaweza kufanya hata mhamala fasta tu.
It very sad, a man's suffering means nothing to his fellow man but that fellow man believe woman must not suffer. Men who are more generous to women and see no reason to be generous to men are miserable
Ukweli ni kwamba wewe mwanaume unaeona ni sawa kuwasaidia wanawake na kuwatosa wanaume wenzako siku utakapopata shida ni hao hao wanaume wenzako unaowafungia vioo ndio watakupiga tafu, all women you helped will disapper.
Kumsaidia mwanamke ni matumizi mabaya ya nguvu na rasilimali kwa sababu wanawake ni wabinafsi wanachokipata wanakilinda kiwanufaishe wao tu. Msaidie mwanaume mwenziko ambae akiwa na afya njema au akisimama kiuchumi jasho lake linanufaisha wengi.
Don't be simp.
Sure....Move ya "men first" inatakiwa ianze mapema kabla haijawa too late!
Ndio maana wanaume wengi ni vichaa na tunakufa kwa depression za mapema kwa sababu machozi na huzuni za wengi hupuuzwa.Tatizo ni exchange in return, ile side unaweza pewa pussy na hata hivo tunaamini mwanaume ni strong zaidi ya mwanamke so anaweza jipambania.
Siwezi kuamini kama we ni mwambaJinsia yangu unaijua 😃
Truth is not hatred.Unaonesha chuki ya wazi kabisa kwa hii jinsia pinzani. Haya ndo maua yetu huku duniani
you are wrong.Hiyo ni nature mwanamke lazima apendelewe.
Simaanishi nikitoa msaada kwa mwanamke nataka fadhila. Ninachozungumzia ni kumsaidia mwanamke ni rahisi zaidi kati ya mwanamke na mwanaume kwa superiority iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume.Ndio maana wanaume wengi ni vichaa na tunakufa kwa depression za mapema kwa sababu machozi na huzuni za wengi hupuuzwa.
Wanaume wengi ni tough na tunaweza kuficha maumivu yetu kwa hiyo ukiona mwanaume kaongea usichukulie simple maana ni kweli kakwama
Kuhusu kutumia lust kufanya maamuzi ni ujinga tu tuliokaririshwa maana kutumia low points za mtu ili upate sex ni kukosa ubinadamu mkuu
Wanawake watafikiri wanaume unaowaongelea ni maex na wanaume wachache waliobahatika kusimama kiuchumi watafikiri wanaume unaowaongelea ni strangers. Mwishoe wote kwa pamoja watakuambia wewe ni dhaifu, unataka mseleleko n.k lakini wanasahau kwamba na kaka zao, wadogo zao na watoto wao wa kiume nao ni jinsia ME.Move ya "men first" inatakiwa ianze mapema kabla haijawa too late!
Nipe kazi kwa kuridhishwa na uwezo wangu sio kwa kutaka kunipangia cha kufanya katika maisha yangu binafsiAvator inaweza kukukosesha kazi.
Uwezo hujidhihirisha katika vitu vingi.Nipe kazi kwa kuridhishwa na uwezo wangu sio kwa kutaka kunipangia cha kufanya katika maisha yangu binafsi
😀😀😀😀😀 noma sanaSiwezi kuamini kama we ni mwamba
Kuna msela alinyooka na ID moja humu, kumbe ile ID sio manzi ni mwamba akaulizwa "unaweza kula kisamvu" 😳😳😳
Your first argument it based on exchanging of help and pussy.Simaanishi nikitoa msaada kwa mwanamke nataka fadhila. Ninachozungumzia ni kumsaidia mwanamke ni rahisi zaidi kati ya mwanamke na mwanaume kwa superiority iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume.
Sio hivo mkuu, mi sio hivoYour first argument it based on exchanging of help and pussy.
Tofauti na mama na dada zako? Fikiria simp kaona tu post ya demu instagram kazama inbox na mhamala kafanya, kuna mwanamke anaweza kufanya ivyo?Binafsi naona wanawake ni rahisi kusaidia kuliko ulivyofikiri , tena wengine hata kama hawana watafanya namna tu ili wakusaidie ili mradi tu usiwe na tabia za kimarioo .
Kwamba naweza nisiwe competent kwenye fani yangu ya uhasibu kwa sababu nimeweka avatar ya putin?Uwezo hujidhihirisha katika vitu vingi.