Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Ni wafuasi wa ishmarl au Isaka?
 
Inaonyesha unatatizo la upungufu wa nguvu za kukaza mke wako ipasavyo. Fanya hiv, Chukua Asali kilo moja changanya na unga wa mdalasini vijiko vikubwa tano tumia Asubukhi unapo amka na unapo taka kulala. Katakata vitunguu swaumu punje 10 kisha meza kwa kutumia maji glass mbili Asubukhi na Jioni. Fanya hivyo kwa mwenzi mzima. Aisee nimechoka kuandika, mengine njoo pm nikwelekeze.
Asali ya nyuki wa kubwa au wadogoo
 
Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja alisema umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
tatizo tunaona kubadili wanaume ndo ujanja..ila kama mtu ashapitia samples kama 5 hvi unadhani ataridhishwa na nani?!

na wanaume wengi ambao wapo vzuri kitandani sio waoaji cos wanawake wanawang'ang'ania...

wanawake inabdi tuitunze na tuithamini miili yetu..
 
Nipatie shemela wako nimpe maelezo ya kufanya ili amsaidie braza
 
Sijui kwanini huyo mwanamke anatupiwa lawama!! Mbaya zaidi hadi na wanawake!!
 
Hiyo ndio shida ya kuoa magume gume ambayo yameshazowea mishindo. Hapo cha kufanya huyo mwanaume aende kwa wataalamu wa afya ili ajue namna ya kutatua tatizo lake.

Pia hiyo ni tabia mbaya sana ya mwanamke kutoa siri za chumbani na mumewe sababu mpaka hapo msaada hajaupata bado na bora angekaa nayo moyoni huku anatafuta njia ya kumsaidia mumewe.
Hivi kumbe kuzoea mshindo ni ugume gume!! Hivyo hautakiwi kufika mshindo eeh!!!
Mbona mwanaume nae katoa siri za ndani!!
 
Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja alisema umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.

Hao wanawake walishakuwa extinct dunia ya sasa. Na hata akimjua mmoja kama hana Mungu atatamani kujua wengine wakoje na kuna wengine anahangaika hata na wanaume mia lakini akiolewa anatulia na mmoja hao ndio binadamu hawana formula yoyote
 
Nadhani hapa tumetofautiana uelewa dada ake mi sikuwa namaanisha mshindo huo mie nilimaanisha ile kubadili badili wanaume. Pole.
Tatizo hapa ni kuwa mwanaume akipiga kimoja chaliii, hali inayompelekea bibie msongo wa mawazo as hafikishwi. Kumbuka tendo la ndoa ni kiungo muhimu mnooo cha ndoa. Sasa sijui kuwa na wanume tofauti tofauti ndiko kulikompelekea huyo mwanaume awe hivyo!! Nashindwa kuunganisha hii lawama unayompa mwanamke na tatizo la mwanaume. Maana mwanaume kweli amekiri kuwa ana tatizo.

Na inaelekea mwanaume alikuwa anajijua ana tatizo hata kabla ndio maana alikubaliana na sharti la kufanya hadi ndoa(ikumbukwe kuwa ni wanaume wachache mnooo wasio na matatizo hukubaliana na hilo)
 
Back
Top Bottom