Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Jaman mwenye tatizo hapo si ajabu ni mwanamke, hampi mumewe care ya kutosha
 
tatizo tunaona kubadili wanaume ndo ujanja..ila kama mtu ashapitia samples kama 5 hvi unadhani ataridhishwa na nani?!

na wanaume wengi ambao wapo vzuri kitandani sio waoaji cos wanawake wanawang'ang'ania...

wanawake inabdi tuitunze na tuithamini miili yetu..
Umesema ukweli kabisa [emoji122]
 
Jaman mwenye tatizo hapo si ajabu ni mwanamke, hampi mumewe care ya kutosha
Kwa hayo maelezo, jamaa ana matatizo. Aangalie ulaji wake, afanye mazoezi, pia aufanyishe mazoezi mkuyenge wake ili aweze kupata hard erections. Pia ajitune kisaikolojia.
 
mimi nilijihisi nami ni mhanga ila kwa maelezo ya wadau humu ,kumbe na mimi ni chuma cha pua, nguvu bado zipo ka fiat mlimani mdogo mdogo napanda tu mlima
 
Back
Top Bottom