G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Umenena mkuu.,,, na hiki ndicho kiini cha tatizo haswa.Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.
Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.