Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
Umenena mkuu.,,, na hiki ndicho kiini cha tatizo haswa.
 
Amtafute mzee m1 wa kisukuma almaarufu chapa ya ng'ombe. Ngoja niombe ridhaa yake akikubali naweka namba ya cm hapa.

Hili tatizo ni janga la taifa. Wengi wa vijana wameamua kuwa walinzi kukwepa majukumu ya ndoa.
 
Bro naomba unizingatie na ikibidi nifuate pm nitakusaidia.
Niwaombe wenzangu tusimlaumu dada yetu na wala tusimpe sifa asiyostahili kwa kusema kwake ukweli. Huyo anatafuta kunusuru ndoa yake ili apate anachokitamani KUTOKA kwa anayeishi naye.
Tatizo la bro ni la Kawaida na hasa kwa watu walio na tabia kama yake.
Kinachojitokeza ni shida y'a kiakili (utayari),mgongano wa matarajio na aina y'a Ushauri.
Shida y'a kiakili
Bro hachukulii kama tendo LA ndoa ni haki y'a mwanamke na ni jambo muhimu, hii imetokana na Yeye kutokuwa na hisia hizo tangia awali. Kutokana na hilo anazidi kujipotezea nafasi y'a kulirekebisha kwa kuongeza chuki kwa mke wake badala y'a kulitafutia ufumbuzi.
Watu wa aina hii huwa hawana Maandalizi y'a tendo la ndoa hivyo huilazimisha akili yake kulikubali badala y'a utayari wa mwili na ndio sababu huchoka na hukosa hisia za kurudia tendo la ndoa.

Mgongano wa matarajio.
Wote wawili hawakuzungumzia na hawazungumzii hisia zao kwa lengo La kupata ufumbuzi bali husimamia misimamo yao hivyo usaidizi wa utatuzi haupatikani.
Aina y'a ushauri
Sisi tunaoombwa Ushauri ndio tunaoongezea tatizo kwa kuwa tunamuhukumu mwingine badala y'a kuwasaidia kuwaunganisha.
Ushauri wangu.
Bro akubali Kuwa hilo ni tatizo na amuombe mwenza wake asaidie kulivumilia na kumshauri jinsi watakavyo shirikiana kulitatua.

Shemeji akubaliane na tatizo na awe tayari kumlinda mwenza wake.
Kumpa faraja na kuwa nae karibu kwa matamanio na ushawishi wa kihisia.

Bro arekebishe mfumo wa Chakula ili kujenga stamina y'a akili na na kuamsha hisia.

Awe karibu na mwenza wake
 
Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
Ndoa nyingi zinatafunwa na ex relationships na vijana wa sasa kujistahi wanaona ni ushamba bila kutambua kuwa wanaweka rehani ndoa zao za baadaye.

Vv
 
Mwambie apige mazoezi sna , anywe maji kwa wingi , ale sna matunda hasa matikiti maji , awe na destur ya kutengeneza juice na tende baaada ya week moja kama hakuna tofaut yeyote huyo atakua ni mtu wa dawa tena
Kuna dawa inakazanisha mishipa ya uume na inakua kma mtu anabalekhe sasa inaitwa zagotini ikishindikana mwambie atafte hio dawa
 
Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
Kabisaaa
 
Hiyo ndio shida ya kuoa magume gume ambayo yameshazowea mishindo. Hapo cha kufanya huyo mwanaume aende kwa wataalamu wa afya ili ajue namna ya kutatua tatizo lake.

Pia hiyo ni tabia mbaya sana ya mwanamke kutoa siri za chumbani na mumewe sababu mpaka hapo msaada hajaupata bado na bora angekaa nayo moyoni huku anatafuta njia ya kumsaidia mumewe.
Angalau ndoa tamu ukioa wa miaka 18 mwisho 20 na wewe una miaka 25 ila hizi za sasa kilomita kwa kweli zimeenda mbali ila sio wote, kimoja kinaweza kuwa bora kuliko kumi kama unamfanyia maandalizi mazuri yani angalau maandalizi ya dakika 30 viungo vyote husika navyo, ondoa haraka
 
Ukute tatizo ni mwanamke unakuta papuchi haina tofauti na tikiti maji kitu kimelegea km gari imekatika center bolt au shokapu mashavu ya papuchi yamelefuka km ya sungura au pimbi. Sasa kwa hali hyo mashine lazima ifleti asee
Pia mwambie jamaa apunguze mawazo anywe maji km ray na afanye tizi sana. Mwisho aonje papuchi zingine zilizotembea kilomita chache
Mkuu nimecheka hadi nimemwaga kinywaji changu ......njo lipa mkuu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]
 
Mpe pole sana kaka yako ajitahidi kubadili chakula , mwambie asitumie dawa zozote zile za kusisimua misuli. Aende kwa wataalumu wamsaidie kutumia bao Hilo Hilo 1 apige pasi ndefu.
 
Huku Ludewa kuna msemo "inyumba madinda"tafsiri isiyo rasmi "nyumba ni siri"!Huyo shemeji yenu ajue angalau hata hiyo raundi moja anapata!Inawezekana tatizo siyo idadi ya raundi Bali hana maadili.Si mwanamke wa kuolewa ingekuwa pale Morogoro ilifaa akafanye kazi Itigi au Kaumba!
 
Dawa zipo. Kaka yako anafanya kazi gani. Nitamtibu tatizo dogo sana hilo.
 
Back
Top Bottom