hahaha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...
Kaamua kumsukumia braza!!.
Umesema ukweli kabisa [emoji122]tatizo tunaona kubadili wanaume ndo ujanja..ila kama mtu ashapitia samples kama 5 hvi unadhani ataridhishwa na nani?!
na wanaume wengi ambao wapo vzuri kitandani sio waoaji cos wanawake wanawang'ang'ania...
wanawake inabdi tuitunze na tuithamini miili yetu..
3 au 4 usiku, 1 au 2 asubuhi.Kwani kawaida round bgapi?samahani lakini
Kwa hayo maelezo, jamaa ana matatizo. Aangalie ulaji wake, afanye mazoezi, pia aufanyishe mazoezi mkuyenge wake ili aweze kupata hard erections. Pia ajitune kisaikolojia.Jaman mwenye tatizo hapo si ajabu ni mwanamke, hampi mumewe care ya kutosha
Umeolewa?Du shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?