Msaidieni mdogo wangu huyu kwa mawazo

Msaidieni mdogo wangu huyu kwa mawazo

Kuna mdogo wangu alimaliza kidato cha sita mwaka Jana, na alisoma mchepuo wa PCB na matokeo yake yalikuwa ni
(Phys C) , (Chm B), (Biol B), (Bam B) .
pamoja na matokeo hayo aliomba koz za udaktari na alikosa kisha profile lake kufutika.
Nakisha alipangiwa Udom education, alipofika chuon aliomba kubadili kozi hiyo kwenda Medicine ila walimkatalia kwamba nafasi zimejaa, akaomba kwenda nursing pia akaambiwa nafasi za uhamisho wa kozi zimeshawahiwa.
Hivyo kijana huyo alichukua maamuzi magumu ya kuacha chuo.!!
Bado anamawazo ya kuomba tena Medicine mwaka huu .
Je kwa matokeo hayo ya CBB anaweza kupata.??
Au ni kozi gani ya udaktari wana Jf mnamshauri aombe.??!!
Msaidieni kwa mawazo wakuu kwani mimi nmeshindwa cha kumshauri.??

Nilisoma PCB niliupenda udaktari ila nikakosa nafasi.. nkaona ts not God's will.. nkaachana nayo namalizia diploma in civil engineering dis year... Mwambie aangalie plan B may be haijapangwa ivo
 
Diploma lazima wamchukue na yeye atajaribu vyuo mbalimbali anaweza pata asitake kwenda kwenye vyuo vyenye majina competition ni kubwa tena serikalini ndio anaweza kosa mwambie ajaribu na vyuo vya private kama bugando
 
Kuna mdogo wangu alimaliza kidato cha sita mwaka Jana, na alisoma mchepuo wa PCB na matokeo yake yalikuwa ni
(Phys C) , (Chm B), (Biol B), (Bam B) .
pamoja na matokeo hayo aliomba koz za udaktari na alikosa kisha profile lake kufutika.
Nakisha alipangiwa Udom education, alipofika chuon aliomba kubadili kozi hiyo kwenda Medicine ila walimkatalia kwamba nafasi zimejaa, akaomba kwenda nursing pia akaambiwa nafasi za uhamisho wa kozi zimeshawahiwa.
Hivyo kijana huyo alichukua maamuzi magumu ya kuacha chuo.!!
Bado anamawazo ya kuomba tena Medicine mwaka huu .
Je kwa matokeo hayo ya CBB anaweza kupata.??
Au ni kozi gani ya udaktari wana Jf mnamshauri aombe.??!!
Msaidieni kwa mawazo wakuu kwani mimi nmeshindwa cha kumshauri.??

kumsaidia tu kuondokana na hayo mawazo yake mwambie awe ana log in humu jf twenty four seven na atakuwa vizuri kiakili na atatulia.
 
Diploma lazima wamchukue na yeye atajaribu vyuo mbalimbali anaweza pata asitake kwenda kwenye vyuo vyenye majina competition ni kubwa tena serikalini ndio anaweza kosa mwambie ajaribu na vyuo vya private kama bugando

Bugando aliomba mwaka Jana ya tatu ila alikosa .
sasa bado anawasiwasi pia anauwezo duni ki pesa. Hivyo anampango wa kuomba pharmacy muhas. vp imekaaje hapo.
 
Hapa nadhani ulimaanisha kozi zingine za afya.Fanya hivi wewe kaka yake

1:Chukua kitabu cha TCU ujiridhishe kuwa amequalify kusoma kozi za afya kama MD,Pharmacy,Environmental Health,Nursing,Dental Surgery,Laboratory Sciences etc

2:Ukishajiridhisha,mshauri achague vyuo visivyo na competition kubwa.Mfano anaweza kuchagua MD ya ile SAUT ya Songea inaitwaje sijui siku hizi ila inaanza na Archbishop something

3:Afanye application mapema kwa sababu time ya kuapply has something to do

4:Vyuo vingine visivyo na competition kubwa ni zile Kampala,Imtu na Hurbert Kairuki.Sema hizi anatakiwa awe vizuri financially.Pia anaweza kuomba Pharmacy ya St. Johns,na kuna kozi nyingi tu za maabara pale MUHAS huwa hazijai sema hazina loan

Info zingine nyingi tu zinapatikana kwenye kitabu cha TCU

Good luck kwa mdogo

Daaaa mwananguu unaongeaaa facts sanaaa tatizoo financial status ya maskanii jamaa anapoint nzuriii tuu afuu mavyuoo ya private yapoo mengiii
 
Bugando aliomba mwaka Jana ya tatu ila alikosa .
sasa bado anawasiwasi pia anauwezo duni ki pesa. Hivyo anampango wa kuomba pharmacy muhas. vp imekaaje hapo.

Kamaa aliombaa ya tatu wenzakee waliomba ya kwanza tambua hiloo dogoo anapoint nzurii sanaasee hajaloose badoo mkomalienii asipotezee mdamtaanii maana sku zinavyozidii kwendaa na watuu wanafauluu kama kumbikumbii awe mjanja na kozi ambazo hazina competition sana asiwe limbukeni na udaktarii hakuna kozi ya afya ambayoo iko vizurii rather than one naah aombe diploma za afya na hukuu akisubiliaa degree iliasikosee vyotee mshaurii dogo aaply sasahivii diploma kabla hajakosa vyotee na hukuu akisubilii degree siombayaa
 
Bugando aliomba mwaka Jana ya tatu ila alikosa .
sasa bado anawasiwasi pia anauwezo duni ki pesa. Hivyo anampango wa kuomba pharmacy muhas. vp imekaaje hapo.

Dah poleni sana ila asikate tamaa mwambie ajaribu ila pharmacy wanabana sana mdogo wangu alikosa mwaka jana na mkopo wakamnyima pia akikosa mwaka huu kama kweli anataka kusoma aanze diploma huwa wanachukuliwa
 
Dash kiukweli hata Mimi nliumia dogo anadai wapo wenzake wanapiga Mdcn Kcmc na Bugando na point ndogo saana so yeye anadai hataki kukata tamaa anaomba tena Mdcn na Pharmacy ila ataweka nursing mbili za mwisho.
 
Mwambie ajaze maabara hata moja ya mwisho hawezikosa.
 
watoto wengine si awafate huko cjui kairuki, muhas, ngoja aombe mwaka huu serikali haina hela apigwe tarh hasi mwaka kesho. halafu akiomba mkopo aambiwe " compeleted form 6 more than 2 years ago. ataikumbuka hyo dip.

kuna jiran aliaoma HGE akapata div 2 akaomba mikozi yake hyo cjui com. develpment, envir. mng cjui vitu gan mara ya kwamza mkopo holaa, kaomba tena kapata mucobs mkopo holaa, akagair mwaka tena ili aombe mkopo kakosa. kapoteza 3 years nnavyoandika hapa kaomba ' diploma in nursary school.' wakati alikataa ualimu wa sekondari tena degree wakati wake esication mkopo angepata
 
Bugando aliomba mwaka Jana ya tatu ila alikosa .
sasa bado anawasiwasi pia anauwezo duni ki pesa. Hivyo anampango wa kuomba pharmacy muhas. vp imekaaje hapo.

aombe phamacy atapata, mi kuna dogo anasoma dip ya phamacy udom alikuwa na CCC
 
dogo ana point nzuri mwambie ajaribu tena mkuu asikate tamaa.
 
Ndyo ni vizuri ila Mimi nna wasiwasi aweza kukosa tena then ikawa shida .

sijajua mara ya kwanza aliomba wapi ila aombe udom, bugando, muhas najua ugumu wa kusoma pcb na mtu kupata grade hizo manake alikaza msuli kweli sasa akienda kusoma ualimu juhudi zake zote kazipoteza bure Naombea afanikiwe jaribu kufuatilia mara ya kwanza aliomba vipi mpaka wakampeleka education.
 
Aliomba hivi.
1.Medicine (muhas)
2.M3dicine (kcmc)
3.medicine (bugando)
4.pharmacy (Muhas)
5.pharmacy (bugando)
 
Aliomba hivi.
1.Medicine (muhas)
2.M3dicine (kcmc)
3.medicine (bugando)
4.pharmacy (Muhas)
5.pharmacy (bugando)

ok kama ni hivyo na hatojali aanze na medicine udom then bugando mara nyingi muhas wanakuwa na competition kubwa sana lakini kwa vigezo vya tcu anafit hata huko labda uhaba wa nafasi.
 
Back
Top Bottom