Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Hili alitolee kauli Max, maana tunaweza kushuhudia Exodus kuliko ile ya wayahudi Kyle Misri
Ni bora kuhamia Kenyatta ya talk tu maana hawa moderators wa jf wamenunuliwa tayari.
 
Watekaji mnainajisi nchi yetu Tanzania.
Ccm mning'ang'ania muitawale nchi wakati hali ya maisha imekuwa mbaya hamuoni/hamusikii?
 
Idara nyeti wameanza kugeukana Hali ni Tete japo kwa huyu atarudi tyuu Zimu likujualo
 
Graduators mliopitia jeshi undeni genge la usalama wa raia tulindane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…