Na ni kwa sababu wahusika wenyewe hawawezi kujiweka wazi kama main character. JiongezeYeye ndiye mhusika mkuu ''main character'' anaye onekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ni kwa sababu wahusika wenyewe hawawezi kujiweka wazi kama main character. JiongezeYeye ndiye mhusika mkuu ''main character'' anaye onekana
What if wanatumia hayo mawasiliano yake kuwadaka washirika wenzakeTaarifa inasema ametekwa jana usiku. Sasa kama kigogo alkua active two hours itakua bas wamemwachia simu atumie. Maana mpaka leo saa 3 asubuh alikua na ishu za standard gauge.
Nawe ni mmojawapo wa watekaji unajua mengi kuhusu abductersWanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
Uwe mpole,lengo kuropoka kuishe
Mmh!Natamani siku moja wakateke na Ka Kigwete!!
Watamsubiri sana, he is goneAnasubiriwa kule Twitter
Uwe mpole,lengo kuropoka kuishe
TUACHIE VYOMBO VYA DOLA
Tupe ubuyuJiulize ni kwanini siku Roma anahojiwa Waziri wa Habari na Michezo aliacha yote akawa mpambe wa Roma?
Kama kweli ana mapenzi na Roma mbona hasuluhishi ndoa yake iliyovunjika?
Una maana kupindua meza?Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...
Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Mbona America, Russia zinafanikiwa?Sio kuropoka, sema kusema ukweli kuishe. Je mbinu hiyo imewahi kufanikiwa dunia hii? Akina Gaddaf, Mugabe, Albashir nk wote hao walitumia mbinu hizi hizi, je walifanikiwa kuzuia ukweli?
Hii inahitaji itolewe maelezo,JF haipo salama kivipi?wahusika please respondKatweet dakika 20 zilizopita View attachment 1148624