Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Taarifa inasema ametekwa jana usiku. Sasa kama kigogo alkua active two hours itakua bas wamemwachia simu atumie. Maana mpaka leo saa 3 asubuh alikua na ishu za standard gauge.
What if wanatumia hayo mawasiliano yake kuwadaka washirika wenzake
 
Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
Nawe ni mmojawapo wa watekaji unajua mengi kuhusu abducters
 
Uwe mpole,lengo kuropoka kuishe

Sio kuropoka, sema kusema ukweli kuishe. Je mbinu hiyo imewahi kufanikiwa dunia hii? Akina Gaddaf, Mugabe, Albashir nk wote hao walitumia mbinu hizi hizi, je walifanikiwa kuzuia ukweli?
 
Kuna siku watakuja kuujutia huu ujinga wa kuteka watu
 
Ina maana ushauri wa Membe haukusikilizwa? Kutekana ni uzuzu!
 
Jiulize ni kwanini siku Roma anahojiwa Waziri wa Habari na Michezo aliacha yote akawa mpambe wa Roma?
Kama kweli ana mapenzi na Roma mbona hasuluhishi ndoa yake iliyovunjika?
Tupe ubuyu
 
Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...

Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Una maana kupindua meza?
 
Membe ni kachero aliye bobea wameshindwa ku track movement zake wameona kuliko wakose kote bora walale mbele na mshkaji...
 
Sio kuropoka, sema kusema ukweli kuishe. Je mbinu hiyo imewahi kufanikiwa dunia hii? Akina Gaddaf, Mugabe, Albashir nk wote hao walitumia mbinu hizi hizi, je walifanikiwa kuzuia ukweli?
Mbona America, Russia zinafanikiwa?
 
Back
Top Bottom