Huo ukweli uliowahi kuongea ni upi?Narudia tena, tatizo ni kuongea ukweli. Hakuna mwenye shida na anayeingia uongo wala kusifia. Huko pm tunayaons sisi tusiosifia serekali.
Sikio la kufa, wapo wanaccm wengi akiwemo Membe walifurahia unyama huu dhidi ya Wapinzani, kwa kuwa hayakuwahusu walikaa kimya nakuona sio tatizo nadhani Mungu anawakumbusha mmoja mmoja kwa.wakati wake.Lowassa alishapata somo.huyu na vijana wake wanachokitafuta watakipata, sasa au baadae siku za usoni upuuzi huu hauwezi kupita hivihivi.
Leo jumapili.Ikawa usiku ikawa asubuhi...siku nyingine.
Duh Wazakaria!!! Au Wazakayo!!!Mkuu;Wanatakiwa waitwe wazakaria.siyo wasiojulikana
Aliyekuteka ndiy anakuachia na ndiye anayekusikiliza mashitaka yako, utaponea wapi hata ukisema??Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Hivi walipona ?! I wish wangekufaMbona tayari wanajulikana baada Shujaa Zakaria kuwachabanga wawili shaba na wenzao kushindwa kuwaacha majeruhi ndio wakajitangaza kuwa "sisi ni usalama aka wasiojulikana, tafadhali mzee Zakaria usitumalize"
Huwa nashanga sana watu kwenda j#uli@na
Fanya uje dar tena nkupeleke kna pub moja hatare sana iko mitaa ya kwa zena (Jina kapuni)hyo interior ndani balaaMkuu naomba kuuliza kuna kigogo wa ngapi?... Naona Kigogo2014 na Kigogo2013
sio kwa utawala huu mkuu, ccm walaji maswala ya benefit of nation sahau.Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...
Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Unang'ang'ania "kinyume cha sheria" ndiyo nini ?!. Jamaa wamekemea utekaji wanaonyeshwa kwa kutekwa !!. Hicho ndicho kimbele cha sheria ?!.
Mmh!!Huwa nashanga sana watu kwenda j#uli@na
Hicho ndicho kijiwe kikubw ch@ -----
Naniii
Pole yke hyo allan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila sijui naye atapatikana wapi
Ova
Hahahahahahah acha kiki za kijinga,kwa lipi la kutisha ufuatwe PM?Ndio maana mnapata shida coz mnaendesha siasa za ulaghai humu.eti tunafatwa PM hahahahahahah, JF bwana kila mtu mjuaji, TISS,Ana hela na anataarifa nyeti toka serikalini.Waulize walionifuata walitaka nini?
Kama wamejiteka wenyewe kujustify hoja zao?Fikiria nje ya box.Unang'ang'ania "kinyume cha sheria" ndiyo nini ?!. Jamaa wamekemea utekaji wanaonyeshwa kwa kutekwa !!. Hicho ndicho kimbele cha sheria ?!.
Mambo mengine siyo ya kushabikia. Hata kina Hitler , Ghadaffi nk walitumia magenge kama haya, mwisho wake nini ?!
Hahahahahahah acha kiki za kijinga,kwa lipi la kutisha ufuatwe PM?Ndio maana mnapata shida coz mnaendesha siasa za ulaghai humu.eti tunafatwa PM hahahahahahah, JF bwana kila mtu mjuaji, TISS,Ana hela na anataarifa nyeti toka serikalini.
Hapa nazungumzia Kigogo2014 wa Twitter.Mkuu naomba kuuliza kuna kigogo wa ngapi?... Naona Kigogo2014 na Kigogo2013
Ibilisi Ye Jamaa. Anamtumikia mungu na shetani.Hii kazi inaratibiwa na mlokole fake wa TISS
Kwani alietekwa ametenda kosa gani?Ametenda makosa gani ?