Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Atakua man of the mechi tena?
IMG-20190703-WA0085.jpeg
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Kunambinu za utekaji, wanakuja watu ndiyo mara yako ya kwanza kuwaona, wanakuchukua, unaenda kuhojiwa na watu tofauti na uludishwa na watu tofauti lazima uone wenge tu.
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue

Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
 
Back
Top Bottom