Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...

Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.

Mkuu nguvu ya wanaccm pia iko kwenye hayo hayo madaraka. Hivyo hawana lolote la kumfanya kwa sasa.
 
Inaonekana hata wengine wepata kazi kwa kugongwa
Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
 
Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...

Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Wajinga wanamdanganya kuwa haiwezekani. Lakini CCM ni chama na chama ni vikao, sidhani kama chama kizima kina watu aina ya POLEPOLE pekee hivyo hawawezi kuamuwa kama ya ANC.
Mbeki alikuwa mkongwe ndani ya ANC lakini walitengua kigoda itakuwaje CCM ishindwe na wakuja?
 
Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
Mkuu umeyajuaje haya? Yamekufika au ni story tu za kitaa?
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Mijoga, inaogopa,, lol, sijui huwa wanayafanyaje wakiyateka had hayasemi kilichojili huko
 
Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
Hili mbona lingejulikana na mhusika au victim? Uko upande upi?
 
Back
Top Bottom