Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...
Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Mr KigogoAtakua man of the mechi tena?View attachment 1148526
Kiongozi wa hovyo zaidi kuwai kuingoza TISSHii kazi inaratibiwa na mlokole fake wa TISS
Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
Aisee, sasa imekuwa CCM wenyewe kwa wenyewe, hongera CCM
Yaani mpk leo bado mnawaitaa wasiojulikana, ilihali kwa tukio la zakaria lile lishawafichua ni kina nani, nchi ina watu WA ajabuWasiojulikana wenye silaha?!...ngoja tusubiri habari za kuelea kwa kiroba.
Wajinga wanamdanganya kuwa haiwezekani. Lakini CCM ni chama na chama ni vikao, sidhani kama chama kizima kina watu aina ya POLEPOLE pekee hivyo hawawezi kuamuwa kama ya ANC.Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...
Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Mkuu umeyajuaje haya? Yamekufika au ni story tu za kitaa?Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
Mijoga, inaogopa,, lol, sijui huwa wanayafanyaje wakiyateka had hayasemi kilichojili hukoHivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Hili mbona lingejulikana na mhusika au victim? Uko upande upi?Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
alichosema uyo kaka ndo ukweli WenyeweMkuu umeyajuaje haya? Yamekufika au ni story tu za kitaa?
Wakijulikana wanasema wao ni Task force ili wasiangushiwe kipigo na raia wema ila wakifanikiwa wanajiita WasiojulikanaYaani mpk leo bado mnawaitaa wasiojulikana, ilihali kwa tukio la zakaria lile lishawafichua ni kina nani, nchi ina watu WA ajabu