Naunga mkono hoja,Huyu anafaa kuwa mke na sio binti wa kazi.Angeweka Picha tu.
Taja location ili tuone urahisi wa kua anakuja na kuondoka asije kua anaishi Bunju kituo cha kazi Chanikabinti miaka 25 mkazi wa dar es salaam anatafuta kazi iwe ni usaidizi wa Kaz za nyumbn za kwenda na kurudi au mgahawani ni mchapakazi msafi na mpishi mzuri sana be kwa anahitaji Ani pm
[emoji2][emoji2]Taja location ili tuone urahisi wa kua anakuja na kuondoka asije kua anaishi Bunju kituo cha kazi Chanika
Sent from my SM-A305F using Tapatalk
Naunga mkono hoja!Kuna wahindi hapa Dar wanaongeaga na wale madalali wa wadada wa kazi za ndani.Aisee huwa wanatafutiwa pisi kali za ki rangi zinawaka balaa huwezi kudhani kuwa ni beki tatu.Nadhani huwa wanawatafuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini nahitaji msaidizi wa kazi za ndani Niko njombe mjini
Nisaidie kuniunganishiayaani wewe uko njombe unakosa msaidizi wa kazi za ndani wakati huko ndio headquarter yao
Nisaidie kuniunganishia
yaani wewe uko njombe unakosa msaidizi wa kazi za ndani wakati huko ndio headquarter yao
Vigezo unavyovitaka Kaka maana kuna mdogo wangu yupo hana kaziNatafuta kijana wa kazi za nyumbani
Nicheck whatsapp 0685389159Binti wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam anatafuta kazi iwe ni usaidizi wa kazi za nyumbani za kwenda na kurudi au mgahawani.
Ni mchapakazi, msafi na mpishi mzuri sana.
Kwa anayehitaji AniPM
yaani wewe uko njombe unakosa msaidizi wa kazi za ndani wakati huko ndio headquarter yao
Natafuta kijana wa kazi za nyumbani
yaani wewe uko njombe unakosa msaidizi wa kazi za ndani wakati huko ndio headquarter yao
Wee! Aisee,embu lete taarifa kamili nimestuka sana niliposikia maneno pisi kali,kirangi, na kuwaka balaaKuna wahindi hapa Dar wanaongeaga na wale madalali wa wadada wa kazi za ndani.Aisee huwa wanatafutiwa pisi kali za ki rangi zinawaka balaa huwezi kudhani kuwa ni beki tatu.Nadhani huwa wanawatafuna.
Sent using Jamii Forums mobile app