Uchaguzi 2020 Msajili aonya mpango wa vyama kuungana Oktoba 3

Hivi hii ofisi inafanya nini exactly?

Serikali ina ajira za ajabu sana
 
Msajili acha kuchachawa!! Mambo mbona bado kabisa haya!!
 
Kama kuhadaa wananchi ni kosa basi CCM ingekuwa imeshafutwa tongea zamani. Msajili akumbuke raia zikifunguliwa ziingie barabarani atakuwa kwenye wakati mgumu zaidi, cha kufanya sasa hivi aache waungane na sisi tutaamua wenyewe zipi mbivu zipi mbichi kwenye sanduku la kura.
 
Wananchi wanaruhusiwa kusikia,kuona na kuhudhuria mikutano ya wagombea,
Upigaji kura na kuchagua,ni SIRI YA MPIGA KURA
Ni wapi mwananchi (mpiga kura atachanganywa).
 
Nasema hivi, ajaribu kuvifuta aone. Wewe tuliza mshono tu kapokee buku Saba yako haya ya kiumeni tuachie wanaume tunajua cha kufanya.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mikwara mbuzi
 
Woga wa Woga wa nini? Maana ya kuungana vitu viwili au zaidi kuwa kimoja mfano TANU na AFRO SHIRAZI vilipoungana na kuwa CCM lakini 3 October ni makubaliano ya kwenda pamoja huku kila chama kikibaki kama kilivyo
 
Hwaungani wala kuunganisha vyama bali wanaungana mkono! Jambo hili si lazima liambatane na kubadili sera au kuanza kunadi sera ya chama kingine , wanaweza kuendelea sera zao kila chama na papohapo wakawashawishi wananchi kumchagua mgombea yupi! Hivi vyama vyote vya upinzani vina sera zinazoelekeana so haina kufeli ni complications tu msajili! Mbona haongelei vyama vinavyounga mkono ccm????
 
Naona kama ndio anauhabarisha umma tukajazane kushuhudia maana wengine tulikua hatujui nini kinaenda kutendeka october3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…