The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Pressure toka juu....!!Msajiri ni mwajiriwa wa serikali lakini kapaniki sana kuhusu nguvu ya upinzani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pressure toka juu....!!Msajiri ni mwajiriwa wa serikali lakini kapaniki sana kuhusu nguvu ya upinzani!
Anahofia kukosa kubarua😂😂Msajiri ni mwajiriwa wa serikali lakini kapaniki sana kuhusu nguvu ya upinzani!
Utafanya nini sasa?Ajaribu kuvifuta aone
Nasema hivi, ajaribu kuvifuta aone. Wewe tuliza mshono tu kapokee buku Saba yako haya ya kiumeni tuachie wanaume tunajua cha kufanya.Utafanya nini sasa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nasema hivi, ajaribu kuvifuta aone. Wewe tuliza mshono tu kapokee buku Saba yako haya ya kiumeni tuachie wanaume tunajua cha kufanya.
Woga wa nini? Maana ya kuungana vitu viwili au zaidi kuwa kimoja mfano TANU na AFRO SHIRAZI vilipoungana na kuwa CCM lakini 3 October ni makubaliano ya kwenda pamoja huku kila chama kikibaki kama kilivyoMsajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja mpango huo kwani wanakiuka utaratibu wa sheria na kwamba walianza vizuri hivyo ni vyema kila mmoja akaendelea kunadi sera zake.
Nyahoza ametoa kauli hiyo hii leo Oktoba Mosi, 2020, kwenye kipindi cha Supa Breakfast ya East Africa Radio na kuongeza kuwa hata hivyo tayari Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekwishaviandikia barua vyama hivyo kwa kuwa ni masuala ya kiofisi huwa hawaziweki barua hizo hadharani.
"Kwanza tunaawaasa hao wanaotaka kufanya hivyo tarehe 3 sisi kama walezi wa vyama vya siasa kwa sababu wanakiuka sheria, walianza vizuri hivyo kila mmoja aendelee kunadi sera yake na wagombea wao wa urais", alisema Nyahoza.
Amesema sheria ya vyama vya siasa inawekwa kwa maslahi ya wanachama na wananchi na unapotaka kushirikiana hutakiwi kufanya kitendo chochote kinachohadaa wananchi kwa hiyo ni kosa kufanya hivyo ghafla wakati wa uchaguzi.
“Ukiunganisha nguvu na chama kingine wakati mmeshakubaliana na wananchi kwamba mtatekeleza sera gani ni kuwahadaa, sisi tulishawasiliana nao na tukawaambia waache," alisema Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Nyahoza.
Vyama vya siasa vya upinzani vya ACT-Wazalendo na Chama Cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema) vimekuwa vikitajwa kuwa na mpango wa kumuunga mkono mgombea mmoja wa urais Oktoba 3, licha ya kuwa vyama vyote hivyo vimeshasimamisha wagombea wao wa urais.
Mwaka huu watapata tabu sanaMwambieee Asilazimishe kauli yake ya kuungana.
Sisi hatuungani
Kwa bahati nzur Tuna Kichwa chenye AKILI NYINGI SANA.
Ajaribu kuvifuta aone
Mtapata tabu sana mwaka huu hadi mnaomba msuguliwe !!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mikwara mbuzi