Thubutu! Kuna taasisi ukiweka mishahara midogo (ya kawaida) utakuwa umepalilia rushwa na wizi utakaopelekea uchumi ku collapse. Mfano afisa wa TRA anayeenda kumkadiria mfanyabishara kodi ya mamilioni au bilioni umlipe milioni moja au mshahara sawa na mwalimu au afisa maendeleo au bwana kilimo!Hivi haiwezekani mishahara ikawa sawa kwa wote? Au maslahi yanayoongelewa ni pesa ya kubrashia viatu?
Tunapoelekea mifumo itaruhusu hili. Afisa hapati nafasi ya kuonana na mfanyabiashara. AI inamalizana na mfanyabiashara.Thubutu! Kuna taasisi ukiweka mishahara midogo (ya kawaida) utakuwa umepalilia rushwa na wizi utakaopelekea uchumi ku collapse. Mfano afisa wa TRA anayeenda kumkadiria mfanyabishara kodi ya mamilioni au bilioni umlipe milioni moja au mshahara sawa na mwalimu au afisa maendeleo au bwana kilimo!
Nani kakwambia hawawezi!??Halafu wakifika kwenye hizo taasisi hawawezi kazi.
Wamezoea kuingia na kutoka na sherehe sherehe huko walikotoka kuoiga mzigo hawawezi.
Yaani unaambiwa hadi aibu kwamba wamefikajefikaje?
Ni afadhali kila taasisi iajiri yenyewe kuliko kupelekewa watumishi mizigo.
Usiwe na shaka, siku za usoni shule nazo itabidi zijitegemee kama taasisi nyingine yoyote ya Kiserikali.Dawa ni scale za serikali zitumike across regardless uko wapi. Hapa Hata walimu watanufaika. Kwa mfumo huu serikali imetengeza taasisi muhimu na taasisi mkafie mabli au Bora liende. Ukitoka hapo unataka matokeo chanya na uwajibikaji. Subutu.
Shule kujitegemea!? Kivipi!? Ikusanye ada ijilipe!?Usiwe na shaka, siku za usoni shule nazo itabidi zijitegemee kama taasisi nyingine yoyote ya Kiserikali.
Wameanza na mashirika ya umma na ya kiserikali, na taasisi zake zote.
Wanakuja kuondoa ujinga wa kupeleka pesa taasisi zote za kidini.
Wakimaliza hapo mashule lazima yajitegemee.
Takukuru kazi yao ni nn?? Ninachokiona hapa ni wale Wafanyabiashara wakubwa waliofanikiwa kujipenyeza/kuwapenyeza kwenye siasa ndio wanaohakikisha kuwa, wanawaweka watu/jamaa zao kwenye Taasisi zile.Thubutu! Kuna taasisi ukiweka mishahara midogo (ya kawaida) utakuwa umepalilia rushwa na wizi utakaopelekea uchumi ku collapse. Mfano afisa wa TRA anayeenda kumkadiria mfanyabishara kodi ya mamilioni au bilioni umlipe milioni moja au mshahara sawa na mwalimu au afisa maendeleo au bwana kilimo!
Iweje sasa Serikali moja maslai tofauti kwani kina mpwayugu village nao hawataki kumiliki rangesport na maghorofa
Tunapoelekea mifumo itaruhusu hili. Afisa hapati nafasi ya kuonana na mfanyabiashara. AI inamalizana na mfanyabiashara.
Nani kakwambia hawawezi!??
Mbona taasisi zisizozalisha ndizo zenye maslai kuliko zisizozalishaMalipo huwa yana zingatia mambo mengi Duniani kote.
Zaidi ni kutokana na unachozalisha.
Thubutu! Kuna taasisi ukiweka mishahara midogo (ya kawaida) utakuwa umepalilia rushwa na wizi utakaopelekea uchumi ku collapse. Mfano afisa wa TRA anayeenda kumkadiria mfanyabishara kodi ya mamilioni au bilioni umlipe milioni moja au mshahara sawa na mwalimu au afisa maendeleo au bwana kilimo!
Takukuru kazi yao ni nn?? Ninachokiona hapa ni wale Wafanyabiashara wakubwa waliofanikiwa kujipenyeza/kuwapenyeza kwenye siasa ndio wanaohakikisha kuwa, wanawaweka watu/jamaa zao kwenye Taasisi zile.
Malipo/mishahara yao lazima wahakikishe ni minono ili waweze kuwafichia maovu yao.
Mbona taasisi zisizozalisha ndizo zenye maslai kuliko zisizozalisha
Baada ya wao kuuwana sisi kama wananchi tunafaidika na nini ?Na ndiyo maana mama Samia jana kasema "ukiuwa shirika au taasisi ufe nayo hukohuko ukija kwangu nakuuwa mimi, sitanii".
We unafikiri watu wanakimbilia sana mshahara, ishu ni hela ya kupigia brashi aka kamba ndefu.Dawa ni scale za serikali zitumike across regardless uko wapi. Hapa Hata walimu watanufaika. Kwa mfumo huu serikali imetengeza taasisi muhimu na taasisi mkafie mabli au Bora liende. Ukitoka hapo unataka matokeo chanya na uwajibikaji. Subutu.
Hebu saidia ni namna gani scale zifanane across.Dawa ni scale za serikali zitumike across regardless uko wapi. Hapa Hata walimu watanufaika. Kwa mfumo huu serikali imetengeza taasisi muhimu na taasisi mkafie mabli au Bora liende. Ukitoka hapo unataka matokeo chanya na uwajibikaji. Subutu.