Msajili, Jeshi la Polisi mmebeba dhamana ya amani yetu

Tanzania hakuna upinzani wote wqmesetiwa na CCM kuwahadaa watanzania eti kuna mawazo mbadala

USSR
Ndugu,
Ingekuwa ni kweli KABISA nadhani msingekuwa mnahangaika hivi kuokoteza vihoja na kubambika KESI kwa baadhi.
Wa kwenu wanafahamika; Cheyo, Lipumba,............Pona, ...........
 
Ndugu yangu,
ungekuwa umeshawahi kufika na ukatembea japo kidogo KONGWA jimboni kwa Job Ndugai, ungeisha acha kubwabwaja?


hii inanikumbusha enzi za kutoka nje bungeni wakati jimboni kwako hakuna maji.

hizi siasa za kitapeli hazimsaidii mwananchi anayewaamini.
 

Mkuu uzoefu umeonyesha kuwa vipi hatimaye somo kueleweka.



Pumzika kwa amani huko aliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…