johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapo hakusema endapo atafeli, bali endapo ataibiwa kura. Msajili angenukuu vizuri, halafu aseme kama atakayeiba kura amepungukiwa au hajapungukiwa ustaarabuNyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Maendeleo hayana vyama!
Akili ndogo siku zote hazifikirii kamwe! Tundu Lissu alisema "Wakiibiwa kura wataingia barabarani, sio kuwa wakishindwa uchaguzi". Mbona mnapenda kuwawekea watu maneno midomoni? Faki Yuu Meni!Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Maendeleo hayana vyama!
Nafuatilia hapa live mkutano wa Nccr Mageuzi, kama hizi thread mnazoanzisha hapa JF ndio huwa mnaokoteza maneno mawili matatu ya mtu na kuanzisha thread basi tuna msiba.Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo ndiyo job description aliyopewa na aliyemwajiri.Mbona kukemea vyama pinzani pekee!
Umemsikiliza au umehadithiwa?huyu msajili au Mjumbe wa CCM??
Huyo msajili msaidizi asilete porojo atulie huko huko na atutangazie Mgombea wetu 28 Oct.