The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Wewe au huyo kada mwingine amepotosha.Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Maendeleo hayana vyama!
Mmeacha kwa makusudi neno muhimu: uhuni