Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajafanya hivyo kwa bahati mbaya. Tume iko kazini kuipigia kampeni ccm ili ile kazi yao maalumu iwe rahisiMbona anachukua sentensi nusu nusu ameacha kisababishi, Lissu alisema 'endapo ataibiwa kura' ataingiza watu barabarani, mbona iko wazi hata Seif kasema hivyo hivyo.
Ila angalau meseji zimeanza kuwafikia walizoea watu wa kuwaambia tutamwachia Mungu, Lissu ni mgombea sahihi kwa muda sahihi.
Akishindwa kwa hila za kuibiwa kura na si vinginevyo.Kwahiyo akishindwa anaingia barabarani. Barabara hizihizi zilizojengwa na Magufuli?
Hajakosea mzee amefanya maskudi kabisaa na hiyo kazi maalumu ya tume hii waliyopewa na mkuu wa malaika jiwesiasisAmekosea huyo msajili, Lisu amesema iwapo atashindwa kwa kuporwa ushindi hatamuachia Mungu. Na iwapo ushindi utakuwa ni huu wa kishenzi, sioni kwanini tusibanane ili kurejesha nidhamu ya box la kura.
huyu msajili au Mjumbe wa CCM??
Lissu hakusema hivyosasa ushindwe urais alafu uingize watu barabarani
Mkuu ulipotelea wapi hapa katikati?Msajili tuliza mukari,ccm tutashinda
Hajasema akishindwa ataingiza watu barabarani, amesema akipokonywa ushindi hatakubali, ataingiza watu barabarani.Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Maendeleo hayana vyama!
Dah matola karibu nianzishe uzi kwa ajili yako yani kitambo sana jamvini.Aliyeanzisha thread hii hana tofauti na mihadhala ya mujahedeen.
Kwa mbali naunga mkono sheria ya cyber crime, Watanzania wengi ni tatizo.
Hao watu wa yeye kuwaingiza barabarani anawatoa wapi?watu 95% tunamuelewa JPM sasa anawatoa wapi wa kuingia barabarani? Huyo ni mvuta bangi tu na yeye anajua isipokua lazima aropoke ili mabeberu yaliyompa pesa yamsikieMbona anachukua sentensi nusu nusu ameacha kisababishi, Lissu alisema 'endapo ataibiwa kura' ataingiza watu barabarani, mbona iko wazi hata Seif kasema hivyo hivyo.
Ila angalau meseji zimeanza kuwafikia walizoea watu wa kuwaambia tutamwachia Mungu, Lissu ni mgombea sahihi kwa muda sahihi.
Akemee vipi na lengo lao ni moja na wako kwenye team moja ya kampeni. Sema ametudharau sana yaani anavyojiona akili zake zilivyo na uwezo mdogo hata kuja na mbinu za kitoto kama hizi, basi na sie watanzania wengine tuko kama yeyeNa wengine tumetishwa jana kuwa vyama vya upinzani wakiingia madarakani watavunja madaraja,tunaomba msajili akemee hili.
Hayo ni mawazo yako.Hao watu wa yeye kuwaingiza barabarani anawatoa wapi?watu 95% tunamuelewa JPM sasa anawatoa wapi wa kuingia barabarani? Huyo ni mvuta bangi tu na yeye anajua isipokua lazima aropoke ili mabeberu yaliyompa pesa yamsikie
Kweli uwezo wa kuelewa tunatofautiana alisema akiibiwa kuraMsajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Maendeleo hayana vyama!
Usinijumuishe mimi na familiayangu na marafiki zangu kwenyehiyo 95% tafadhali.Hao watu wa yeye kuwaingiza barabarani anawatoa wapi?watu 95% tunamuelewa JPM sasa anawatoa wapi wa kuingia barabarani? Huyo ni mvuta bangi tu na yeye anajua isipokua lazima aropoke ili mabeberu yaliyompa pesa yamsikie
Ni vizuri msajili angeeleza kwa nini mgombea huyo imefikia mpaka kayasema hayo!!Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Maendeleo hayana vyama!
Ukiibiwa kura unashinda?Kweli uwezo wa kuelewa tunatofautiana alisema akiibiwa kura
Lissu ni mgombea sahihi wa wakati sahii, walizoea siasa nyepesi za kumuachia Mungu au za kuogopa, go go go LissuMsajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.