Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hivi hamjifunzi tu kuwa wanyalu huwa wanawadharau sana wanawake?Hahahaaaa..... Baada ya shughuli ya Kumdhamini Rais Magufuli kukamilika nilirejea Iringa.
Na nimejiridhisha mchungaji Msigwa atafungasha virago 28 October saa 4 asubuhi!
Kesho nitarudi tena Dodoma kushereheke Nane Nane si unajuwa hakuna ofisi inafunguliwa kesho bwashee?
Maendeleo hayana vyama
Natanguliza pole za dhati kwa huyo Jesca 🤣🤣🤣