cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Itabidi athibitishe huo uwezo mahakamani kwanzaMbona anachukua sentensi nusu nusu ameacha kisababishi, Lissu alisema 'endapo ataibiwa kura' ataingiza watu barabarani, mbona iko wazi hata Seif kasema hivyo hivyo.
Ila angalau meseji zimeanza kuwafikia walizoea watu wa kuwabia tutamwachia Mungu, Lissu ni mgombea sahihi kwa muda sahihi.