Uchaguzi 2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

Hivi hamjifunzi tu kuwa wanyalu huwa wanawadharau sana wanawake?
Natanguliza pole za dhati kwa huyo Jesca 🤣🤣🤣
 
Tujiandae tu kuingia barabarani maana CCM itashinda kwa kishindo ambacho hakijawahi kutokea
 
Amekosea msajili, mgombea alisema endapo akiibiwa kura na sio akindwa!
 
Huyu Mgombea Mwaka huu atawapa Stroke au Cardiac Arrest!!! Hamchoki kumchokonoa.
 
Huyu jamaa kweli jina lake linafanana na akili yake.."Nya....hoza" Lisu alisema kama ataibiwa sio endapo atafeli hizo ni sentensi mbili tofauti....Tatizo anayemtuma nae akili yake ni kama sufuria tu au mtungi wa maji
 
Karani katika ubora wake,wala hajui kilichosemwa.
 
Akili ndogo siku zote hazifikirii kamwe! Tundu Lissu alisema "Wakiibiwa kura wataingia barabarani, sio kuwa wakishindwa uchaguzi". Mbona mnapenda kuwawekea watu maneno midomoni? Faki Yuu Meni!
Faki yu too..:-(^_^
 
Wamezoea kupindua matokeo halafu maisha yanaendelea,wana kisiki cha mpingo safari hii.Lissu atawanyoosha.Na naomba awanyooshe tu.Tunataka HAKI ya watanzania kuchaguwa viongozi wao wanaowataka iheshimike.
 
Nini maana ya "kuibiwa" na nini maana ya "kushindwa!" Labda mimi sijui kutofautisha
 
Kwani vitisho vinaangaliwa kwa mrengo mmoja tuu,au Mimi sijaelewa maana ya maendeleo hayana vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…