Msajili wa vyama aitaka CHADEMA ijieleze kwanini wanasema wasipochaguliwa wataingia barabarani, Lissu ajibu

Yeye kushinda urais ni ndoto.kama Ana jeshi lake aliweke tu tayari waanze kupasha Moto bunduki
 
Msajili anampa promo ya bure Lisu!
 
Kwani kuingia barabarani ni kosa?

Kama ni kosa basi, madereva wote tuna makosa, maana hatuwezi kuendesha gari bila kuingia barabarani
 

Huyo msajili angeanzana kumwandikia bosi wake atoe maelezo ni kwa nini anatoa rushwa kwenye kampeni zake, pia ajieleze ni kwa nini anawachagulia wananchi watu wa kupigiwakura, na pia vitishi kuwa wasipoichagua ccm watajuta.
 
Baada ya maandamano ya Mwanza wamestuka kumbe kweli watu wako tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…