Uchaguzi 2020 Msajili wa Vyama ameionya CHADEMA kwa kuongeza ubeti wa 3 katika Wimbo wa Taifa jana katika Mkutano wa Baraza Kuu

Kuna kitu hawa chadema wanaitafuta serikali? Na amini na hili nalo litapita...
 
CHADEMA HAWANA HESHIMA KWA SHERIA ZA NCHI YETU.

lakini ni lazima watambue tutawanyoosha wao na mabwana zao mabeberu.
Kabla ya kusema yote hayo. Angalia video clip watu wameweka hapo ya wanaccm wakinajisi wimbo wetu wa Taifa kisha urudi uendelee. Mtag pia msajili hili nalo alikemee
 
CHADEMA HAWANA HESHIMA KWA SHERIA ZA NCHI YETU.

lakini ni lazima watambue tutawanyoosha wao na mabwana zao mabeberu.
Mkuu hivi ni sahihi kutenga watu kimaendeleo kisa itikadi za chama?
 
Chadema itaendelea kuwepo kwa muda mrefu sana ujao, japo wanajidai kuipuuza siku zote, lakini nikiangalia vizuri kila neno alilotoa huyo jaji kwenye statement yake ni kama anajibu yale mapigo ya Chadema yanayoendelea mlimani city.
 
baada ya uchaguzi atafute kibarua pengine au aombe radhi mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…