nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Lete kifungu cha sheria tukijueChadema huwa hawazingatii sheria!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete kifungu cha sheria tukijueChadema huwa hawazingatii sheria!
Unaona walicho fanya ni sahihi..sheria ya KUNAJISI wimbo wa taifa.
..Msajili anataka kuwatoa CDM kwenye reli.
Kabla ya kusema yote hayo. Angalia video clip watu wameweka hapo ya wanaccm wakinajisi wimbo wetu wa Taifa kisha urudi uendelee. Mtag pia msajili hili nalo alikemeeCHADEMA HAWANA HESHIMA KWA SHERIA ZA NCHI YETU.
lakini ni lazima watambue tutawanyoosha wao na mabwana zao mabeberu.
Unaona walicho fanya ni sahihi
Mkuu hivi ni sahihi kutenga watu kimaendeleo kisa itikadi za chama?CHADEMA HAWANA HESHIMA KWA SHERIA ZA NCHI YETU.
lakini ni lazima watambue tutawanyoosha wao na mabwana zao mabeberu.
Mchakato wa kura za maoni ccm umegubikwa na rushwa kila kona hajaona ila anaona eti wimbo umeongezwa ubeti, hopeless kabisa!!Chadema huwa hawazingatii sheria!
Sio sahihi.Mkuu hivi ni sahihi kutenga watu kimaendeleo kisa itikadi za chama?