Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ni kweli wimbo wa taifa huimbwa kwa sauti ya kwanza, ya pili, ya tatu na ya nne, wao sauti hizo zilichanganyika zikawa mazagazaga.
Nkosi zikelele Africa...™
Nkosi zikelele Africa...™
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu! tofautisha marumbano ya vyama na utii kwa taifa. Kama wanachezea wimbo wa taifa ambao ni utambulisho wetu sote wakidhani wanashindana na ccm, wanakosea. Hii ni maudhi ya watanzania bila kujali itikadi za kisiasa.
Hebu onyesha huo ubeti ulioongezwa siyo unalipuka tu na commentChadema huwa hawazingatii sheria!
Kumekucha kumekuchaaaaIkiwa kisheria wimbo wa Taifa ni hizo beti mbili basi ukiongezeka ubeti wa tatu huo kisheria siyo wimbo wa Taifa tena ila wimbo tu wa mtaani.
Tatizo ni kama huo wimbo una patent kisheria.
Magufuli ndiyo anayenajisi kila kitu....Kuku, jogoo nk. Tangu lini ukasikia "KUKU HOYEE" huko si ndiyo kunajisi haki za wanyama...anawa-stress wanyama. Huyo msajili anaona hilo ni sawa tu? Bado anaendelea kunajisi vitu vingine...sheria ya KUNAJISI wimbo wa taifa.
..Msajili anataka kuwatoa CDM kwenye reli.
Wamefanya nini kiweke hapaUnaona walicho fanya ni sahihi
Weka video acha kubwabwajaKuvaa nguo za chama na kufanya makosa hakumaanishi chama kimekosa. Lakini Chama kikiwa kwenye vikao vyake halali, huku uongozi mzima wa kichama tena kitaifa kudiriki kuvunja sheria hakiwezi kujivua 'dhambi' hii. Chadema jana walikuwa kwenye vikao halali na wamefanya kosa hilo, hivyo kama wanajielewa wawaombe radhi watanzania mara moja.
Mtanzania anayejitambua hawezi kuchezea wimbo wa Taifa.
Unapolazimisha kuokoteza cha kusema ndio matokeo yakeSisi wananchi tunawaona tuu wanayofanya CDM. Wabishane kwa hoja na sio kubadili mambo yetu ya kitaifa.
Siwezi kushiri kusambaza video inayo'najisi' tunu ya Taifa langu Tanzania.Weka video ....
Tusubiri tutapata majibu muda si mrefu
Kuna watu wanavaa chupi zenye rangi na mpangilio wa bendera ya taifa.Sisi wananchi tunawaona tuu wanayofanya CDM. Wabishane kwa hoja na sio kubadili mambo yetu ya kitaifa.
Majibu yanaweza kuwa sahihi au si sahihi. Wewe unasubiria jibu gani?Tusubiri tutapata majibu muda si mrefu
Huyu msajiri hana chochote, ccm wanavunja sheria waziwazi anawaangalia tu
Kuna vitu vingine wanavyofanya Chadema ni kama watotoView attachment 1526883