Uchaguzi 2020 Msajili wa Vyama ameionya CHADEMA kwa kuongeza ubeti wa 3 katika Wimbo wa Taifa jana katika Mkutano wa Baraza Kuu

Uchaguzi 2020 Msajili wa Vyama ameionya CHADEMA kwa kuongeza ubeti wa 3 katika Wimbo wa Taifa jana katika Mkutano wa Baraza Kuu

Wimbo wenyewe sio wetu, tumeukopa huko na kubadirisha lugha lakini wenye nao hawalalamiki, still sisi wenyewe tunapigana mikwara jinsi ya kuutumia. Ajabu sana!!
 
Back
Top Bottom